Anataka kurudi ila moyo unasita

Anataka kurudi ila moyo unasita

OllaChuga Oc

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
21,965
Reaction score
25,330
Wakuu habari gani,

Poleni kwa kulala na hongereni kwa kuamka salama, ni asubuhi ingine tena ya baraka Mungu katupatia; kwa wale walio double nawapa pole kwa uchovu wataoamka nao, ila niwapongeze kwa kazi nzuri na mbaya walizofanya mmetisha.

Kuna watakaoamka na stress, magonjwa, mimba, hang over, nini yote sawa tu. Nisiwashoche sana ni hivi, miaka minne iliyopita nilikuwa na kampenzi kazuri tu! manzi nilimpenda sana kila nilichopata nilijitahidi kumgawia. Daah! Nilimpenda sana kwakweli. Katika kitu ambacho sikutarajia ni pale alinibeba mimba ya mtu mwingine daaah! Inauma aisee acha tu, baada ya kugundua nilimwambia tuachane tu kwa amani japo moyo ulishampenda na nilishazama kwake hivyo nilipita kwenye mpito mkali sana ili kuweza kumsahau. Japo naye alilia sana akiomba msamaha lakini niliamua ku move on alone na maisha mengine yakaendelea.

Basi binti alijifungua salama mtoto wa kike na alifanana sana na mshikaji, nilitamani angekuwa ndio mtoto wangu ila ndo hivyo haikupangwa. Mtoto aliendelea kukua ila jamaa aliyezaa naye alikuja mkana mtoto na kusema sio wake; basi akarudi kwangu na kuomba arudi na mimi nilimwambia kama anataka kurudi basi ampeleke mtoto kwa uyo jamaa, Lakini jamaa ndo alimkataa mtoto kabisa.

Basi mtoto akiwa na miezi kaa nane hivi akapelekwa kwa bibi yake (mama wa huyu msichana) baadae miezi kadhaa mbele msichana akapata mpenzi Mlami (Mzungu, huyu msichana alikuwa anafanya kazi kampuni moja ya kufua umeme wa jua ipo uko Arusha; ni kampuni ya wajerumani sitaitaja) mimi nilikuja pata taarifa badae kuwa demu aliondoka na uyo mlami mpk uko kwao Germany na mtoto alimwacha kwa mama yake.

Sasa binti amerudi na ana mtoto mwingine chotara wa kike aliompata kwa huyo Mzungu. Basi nikiwa kwangu siku ya Jumapili hii juzi iliyo pita, namba mpya iliita kwa simu yangu na nilipopokea alikuwa ni yeye na aliniomba tuonane mimi nikashtuka sana nikamuuliza unataka nini? Ila alisisitiza tuonane basi mimi nikamdanganya na kumwambia nimesafiri labda nikirudi.

Sasa jana kanipigia tena na kuniambia ameenda kwa mama yake kumsalimia na kumchukua mtoto yule wa kwanza lakini mtoto amemkata, mtoto hamjui yeye anajua bibi yake ndo mama yake kozi aliachwa akiwa mdogo sana. Sasa ameniomba nimshauri namna gani ataweza kumchukua mtoto akaishi naye ila cha ajabu ni kwamba anang'ang'ania sana kuniona na mimi sina mpango wa kuonana naye.

Najua nikionana naye nitakuwa mdhaifu sana, kuna mengi aliniambia kwa njia ya simu ila sio mbaya kama nitapata ushauri kutoka kwenu wakuu niende nikamwone au nisiende? Pia anataka nimshauri namna ya kumchukua mtoto kwa bibi yake maana mtoto hamfahamu kabisa.

Ni ndefu sana so nmejaribu kufupisha ila naitaji ushauri wenu wakuu.

Based on true story. Asanteni [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
fanya maisha yako.huyo si mtu
 
Kuonana co tstzo ila ukirudiana na huyo tena kwa idad yote hii ya wanawake tulioletewa na mwenyez mungu bx tambua ww co mwanaume bal ni mwanamke km dada zko wa kwenye familia yenu yann mxee wako atkuwa kapta mtoto wa kike mwingne ktk familia yko maana huu co udhaifu ni upumbavu
 
Pole sana naona wewe ndio umeamka na msongo wa mawazo kwani sioni kitu cha maana hapa
 
Achana naye huyo mtoto akikaa yeye na Mama yake wakamwelesha vizuri anaelewa.
 
Bibi ndio ana jukumu la kumuelewesha mtt kuwa yy c mamaake Bali ni bb tuu na co ww....kingine kwani 'mlami' kazingua mpka anakutafuta weyee(kidding)...
 
Umeandika vibaya kama mtoto wa darasa la pili, siku nyingine andika vzr ili story isomeke
 
Nenda tu huyo amerudi na vifedha vya kigeni, kale pesa yake akitaka penzi mpe tu kama unauhakika wa afya yake coz hata demu mpya utakayempata naye atakua amepita kwa wanaume kadhaa, kuwa naye ila usimpende, usimuoe.
 
Wakuu habari gani, poleni kwa kulala na hongereni kwa kuamka salama [emoji3] [emoji3] , ni asubuhi ingine tena ya baraka Mungu katupatia; kwa wale walio double nawapa pole kwa uchovu watao amka nao, ila niwapongeze kwa kazi nzuri na mbaya walizofanya mmetisha! Kuna watakao amka na stress, magonjwa, mimba, hang over, niniii yote sawa tu. Nisiwashoche sana ni hivi, miaka minne iliyopita nilikuwa na kampenzi kazuri tu! manzi nilimpenda sana ..kila nilichopata nilijitahidi kumgawia. Daah!! Nilimpenda sana kwakweli. Katika kitu ambacho sikutarajia ni pale alipibeba mimba ya mtu mwingine daaah!! inauma aisee acha tu, baada ya kugundua nilimwambia tuachane tu kwa amani japo moyo ulishampenda na nilishazama kwake hivyo nilipita kwenye mpito mkali sana ili kuweza kumsahau. Japo naye alilia sana akiomba msamaha lakin niliamua ku move on alone na maisha mengine yakaendelea. Basi binti alijifungua salama mtoto wa kike na alifanana sana na mshikaji, nilitamani angekuwa ndio kid wangu ila ndo hivyo haikupangwa. Mtoto aliendelea kukua ila jamaa aliyezaa naye alikuja mkana mtoto na kusema sio wake; basi akarudi kwangu na kuomba arudi na mimi nilimwambia kama anataka kurudi basi ampeleke mtoto kwa uyo jamaa, Lakin jamaa ndo alimkataa mtoto kabisa. Basi kid akiwa na miezi kaa nane hiv akapelekwa kwa bibi yake (mama wa uyu demu) badae miezi kadhaa mbele demu akapata mpenzi mlami ( mzungu, uyu demu alikuwa anafanya kazi kampuni moja ya kufua umeme wa jua ipo uko Arusha; ni kampuni ya wajerumani sitaitaja) mimi nilikuja pata taarifa badae kuwa demu aliondoka na uyo mlami mpk uko kwao Germany na mtoto alimwacha kwa mama ake. Sasa binti amerudi na ana mtoto mwingine chotara wa kike alompata kwa uyo mzungu. Basi nikiwa kwangu siku ya jumapili hii juzi iliyo pita, namba mpya iliita kwa simu yangu na nilipo pokea alikuwa ni yeye na aliniomba tuonane ..me nikashtuka sana nikamuuliza unataka nin? Ila alisisitiza tuonane basi me nikamdanganya na kumwambia nmesafiri labda nikirudi. Sasa jana kanipigia tena na kunambia ameenda kwa mama yake kumsalimia na kumchukua mtoto yule wa kwanza lakin mtoto amemkata, mtoto hamjui ye anajua bibi ake ndo mama yake koz aliachwa akiwa mdogo sana. Sasa ameniomba nimshauri namna gani ataweza kumchukua mtoto akaishi naye ..ila cha ajabu ni kwamba anang'ang'ania sana kuniona na mimi sina mpango wa kuonana naye. Najua nikionana naye nitakuwa mdhaifu sana, kuna mengi alinambia kwa njia ya simu ila so mbaya kama nitapata ushauri kutoka kwenu wakuu niende nikamwone au nisiende? Pia anataka nimshauri namna ya kumchukua mtoto kwa bibi ake maana mtoto hamfahamu kabisa.

Ni ndefu sana so nmejaribu kufupisha ila naitaji ushauri wenu wakuu.

Based on true story. Asanteni [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Hayo mengine mbona huyasemi tukushauri?Nakushauri na wewe mtie mimba awe na watoto watatu maana anapenda mimba inaonekana na nyota ya panya au funza nadhani!
 
wewe yanakuhusu nini? kwani hana ndugu wa kumshauri? mwambie upo mjini na hutaki kumuona .unamuogopa nini au anakudai?
 
Mkuu mbona kama naona huhusiki hapo aiseee...Huyo Manzi muache apambane na Hali yake, ameyataka mwenyewe!!
 
Wakuu habari gani, poleni kwa kulala na hongereni kwa kuamka salama [emoji3] [emoji3] , ni asubuhi ingine tena ya baraka Mungu katupatia; kwa wale walio double nawapa pole kwa uchovu watao amka nao, ila niwapongeze kwa kazi nzuri na mbaya walizofanya mmetisha! Kuna watakao amka na stress, magonjwa, mimba, hang over, niniii yote sawa tu. Nisiwashoche sana ni hivi, miaka minne iliyopita nilikuwa na kampenzi kazuri tu! manzi nilimpenda sana ..kila nilichopata nilijitahidi kumgawia. Daah!! Nilimpenda sana kwakweli. Katika kitu ambacho sikutarajia ni pale alipibeba mimba ya mtu mwingine daaah!! inauma aisee acha tu, baada ya kugundua nilimwambia tuachane tu kwa amani japo moyo ulishampenda na nilishazama kwake hivyo nilipita kwenye mpito mkali sana ili kuweza kumsahau. Japo naye alilia sana akiomba msamaha lakin niliamua ku move on alone na maisha mengine yakaendelea. Basi binti alijifungua salama mtoto wa kike na alifanana sana na mshikaji, nilitamani angekuwa ndio kid wangu ila ndo hivyo haikupangwa. Mtoto aliendelea kukua ila jamaa aliyezaa naye alikuja mkana mtoto na kusema sio wake; basi akarudi kwangu na kuomba arudi na mimi nilimwambia kama anataka kurudi basi ampeleke mtoto kwa uyo jamaa, Lakin jamaa ndo alimkataa mtoto kabisa. Basi kid akiwa na miezi kaa nane hiv akapelekwa kwa bibi yake (mama wa uyu demu) badae miezi kadhaa mbele demu akapata mpenzi mlami ( mzungu, uyu demu alikuwa anafanya kazi kampuni moja ya kufua umeme wa jua ipo uko Arusha; ni kampuni ya wajerumani sitaitaja) mimi nilikuja pata taarifa badae kuwa demu aliondoka na uyo mlami mpk uko kwao Germany na mtoto alimwacha kwa mama ake. Sasa binti amerudi na ana mtoto mwingine chotara wa kike alompata kwa uyo mzungu. Basi nikiwa kwangu siku ya jumapili hii juzi iliyo pita, namba mpya iliita kwa simu yangu na nilipo pokea alikuwa ni yeye na aliniomba tuonane ..me nikashtuka sana nikamuuliza unataka nin? Ila alisisitiza tuonane basi me nikamdanganya na kumwambia nmesafiri labda nikirudi. Sasa jana kanipigia tena na kunambia ameenda kwa mama yake kumsalimia na kumchukua mtoto yule wa kwanza lakin mtoto amemkata, mtoto hamjui ye anajua bibi ake ndo mama yake koz aliachwa akiwa mdogo sana. Sasa ameniomba nimshauri namna gani ataweza kumchukua mtoto akaishi naye ..ila cha ajabu ni kwamba anang'ang'ania sana kuniona na mimi sina mpango wa kuonana naye. Najua nikionana naye nitakuwa mdhaifu sana, kuna mengi alinambia kwa njia ya simu ila so mbaya kama nitapata ushauri kutoka kwenu wakuu niende nikamwone au nisiende? Pia anataka nimshauri namna ya kumchukua mtoto kwa bibi ake maana mtoto hamfahamu kabisa.

Ni ndefu sana so nmejaribu kufupisha ila naitaji ushauri wenu wakuu.

Based on true story. Asanteni [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Mmmh... Maamuz unayo mwenyeee, ongea na moyo wako
 
We mtie block tu maisha yako yaendelee. Lakini kama unampenda nenda kaonane nae. Usaliti kwani sh ngapi?
 
Kuonana co tstzo ila ukirudiana na huyo tena kwa idad yote hii ya wanawake tulioletewa na mwenyez mungu bx tambua ww co mwanaume bal ni mwanamke km dada zko wa kwenye familia yenu yann mxee wako atkuwa kapta mtoto wa kike mwingne ktk familia yko maana huu co udhaifu ni upumbavu
Daah basi poa mkuu nitajitahidi nisionane naye kabisa.
 
Bibi ndio ana jukumu la kumuelewesha mtt kuwa yy c mamaake Bali ni bb tuu na co ww....kingine kwani 'mlami' kazingua mpka anakutafuta weyee(kidding)...
Itakuwa mkuu kwani amekazana sana kutaka kuniona.
 
Nenda tu huyo amerudi na vifedha vya kigeni, kale pesa yake akitaka penzi mpe tu kama unauhakika wa afya yake coz hata demu mpya utakayempata naye atakua amepita kwa wanaume kadhaa, kuwa naye ila usimpende, usimuoe.
Daah nitaweza kweli? Maake mwanzo nilishampenda, apo ndo napawazia mkuu.
 
Back
Top Bottom