Mimi mwenzenu nahisi na tatizo .yahni mm ni miongoni mwa wasichana watulivu na wanaojua kulidhika wanapokuwa na mpnz n Huwa nakuwa mmoja tu tatizo langu kubwa ni wivu..nina wivu sana na nimpendaye.
Tatizo langu la pili huwa hata kama nampenda mwanaume nimekuwa nae akanitenda au akanifanyia tofauti nikawa siridhiki.moyo huwa unapoteza mapnz taratibu na hatimae yanaisha kabisa na hivyo nakosa kabisa appetite ya mapnz na nikofikia hatua hiyo siwezi tena kuendelea na penzi hilo.....yahn sina tena feellings nakuwa na huyo boy wangu.
Sasa mm sijielew hii hali kwa sababu napenda sanaaa au tatizo ninini mpaka nakinai hivi maana nikifikia situation hii niweke wazi tu huwa siwezii kabisa kufake mapnz ya kudanganyana na ni mgumu musamehe kuendelea na mapnz nikishafikia hatua .
Hivi ni mimi tu au mpo wanawake/wasichana wenzangu wenye tabia kama yangu.na je huwa mnakabiliana naho vp.