Wakuu,
Kuna jamaa yangu(SIO MIMI) huwa ananiambia, huwa anamwaga bao moja tu la kwanza,mabao mengine hamwagi,yaana anaweza kusex for 45minutes kisha uume unasinyaa kisha unasimama tena bila...
Habari za weekend wataalamu?
Kuna tabia inaboa hasa nimeiona hapa kwenye hili jukwaa la mapenzi.
Mtu anaweza akaanzisha mada yake vizuri tu hapa, watu badala wajikite kwenye kuchangia mada wao...
Wakuu niliwahi kuleta uzi humu wa jirani yangu wa kiume niliyekuwa simuelewi elewi, sasa huyu kaka jirani hapa tunapoishi amehama ila tulikuwa tunawasiliana, na kuna siku nilimuona road na...
Lakini nakwambia Ewe kijana peke yako.
Baba yako na Mama yako ndio pekee wNa uchungu na wewe katika Dunia hii.
Hakuna takataka yeyote zaidi ya Baba na Mama.
Kuna watu wana maumivu na malipizi...
Mada yangu imekaa kiswali zaidi tuzungumzie Uraibu, upi mzuri na upi mbaya
Expression zipi ni nzuri na zipi ni mbaya
Uraibu (Addiction)
Siku zote kuvutiwa na jambo fulani sana uwa inategemea una...
1. ANAPOJITENGA GHAFLA
Mwanaume rijali hapigi magoti kuomba huruma, wala hatumii fujo. Badala yake, hutulia na kutafakari:
“Je, huyu mwanamke alikuwa kweli serious au alikuwa ana ride tu kwenye...
Habari wakuu wa JF
Naombeni msaada wa ushauri,
Nimekaa nalo kwa mwaka sasa ila bado linaniumiza, Mimi na mume wangu nimwaka wa saba sasa tupo kwenye ndoa, Mume wangu ni mtu mpole na mkimya sana...
Wakuu!
Nimetulia zangu hapa ufukweni nikakumbuka tukio moja la ajabu, lakini la kweli kabisa. 🌊😌
Mara nyingi kuna mambo madogo ambayo yanatuudhi kimya kimya… lakini hatuwezi kusema. Labda kwa...
Nashangaa huko Instagram mwanamke anajitapa kuzaa inje ya ndoa watoto watatu halafu ndani ya ndoa mtoto mmoja Nini hiki wakuu mbona hatari sana.
Najiuliza inakuwaje wanaume uendelee kuishi na...
Hii imenitokea juzi kati kuna jamaa yangu, mmoja alikuwa demu wake mkali ,alisha wahi kunitambulisha kwa huyo demu wake ,sasa mazoea yakaanza mimi na huyo shemela ,tukawa tunaitana shem shem...
Niaje WanaJamiiForums
Hivi pale inapotokea Baba yako Mkwe anakugumia upo na mchepuko unapaswa ufanye nini?
Na kikawaida ni ipi response ya Baba Mkwe baada ya kutoka eneo hilo
habari za sahivi jamani?
kuna binti tulikua na uhusiano nae na alikuwa ananipenda sana lakini me nikawa nampenda mtu mwingine asiyenipenda, nikawa nampotezea huyu.
Mwishowe akachoka akaamua...
Habari za jumapili,
Nikiwa na akili zangu timamu, leo tarehe 29/05/2022 nimeona nisimulie moja ya mahusiano niliyopitia kwenye maisha yangu wakati wa uschana....
Sio mazuri kusimulia sababu...
Salaam JF,
Si muda wote wa kushughulika na ujenzi wa taifa lkn kuna muda mwengine wa kurelax na kukumbuka adolescence. Kama head inavyosema.
Mimi nilimpenda sana mdada mmoja aitwaye Jane Damian...
Wanaume wengi wanakumbwa na tatizo la nguvu za kiume, unakuta mtu anahangaika kutongoza kweli atakuhonga wee mpaka unamkubalia.
Kipindi anakutokea atajisifu kwamba Show anaiweza ukikubali...
Wakuu awali ya yote NIWASHUKURU kwa mawazo yenu yenye tija na nguvu katika hatma ya maisha ya ndoa yangu, nimeamua haya mambo nitakayo yafanya baada ya kupata ushauri wenu.
1.NIMEAMUA KUACHANA NA...
Kuna siku Niko club ya usiku nacheza macho yangu yakaangukia kwa mdada flanj hivi alikuwa beautiful kweli Sasa katika kumchombeza akawa amekubali bwana akanieleza yeye anaishi pekee yake kwake khy...
Mimi ni mmoja wa waathirika wa janga la uhamisho wa watumishi wa umma, mke wangu ni mwalimu wa shule ya msingi katika mkoa "A" wilayani "B".
Hivi karibuni nilihangaika kutafuta uhamisho wa mke...
Watu wengi wenye miaka 21+ ambao hawapo kwenye relationship yoyote, either ni wagonjwa au waoga na uoga huu wa uhusiano baina ya jinsia mbili hupelekea punyeto matokeo yake waganga wa nguvu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.