Wenye umri zaidi ya miaka 21 ambao hawapo kwenye mahusiano ni wagonjwa au waoga

blackstone

Senior Member
Aug 11, 2015
147
128
Watu wengi wenye miaka 21+ ambao hawapo kwenye relationship yoyote, either ni wagonjwa au waoga na uoga huu wa uhusiano baina ya jinsia mbili hupelekea punyeto matokeo yake waganga wa nguvu za kiume ni dili kweli siku hizi mjini.

Nina rafiki yangu mwanachuo ni 22 hana uhusiano wowote na msichana na ni mwoga kweli ameathirika na punyeto, nimsaidiaje?
 
Jibu rahisi. Kwanza mfundishe njia za kuacha punyeto. Then mfundishe kuwa na confidence. Itamsaidia sana.. maana asipokuwa na confidence hata pata mwanamke na ataendelea kupiga punyeto.
 
Watu wengi wenye miaka 21+ ambao hawapo kwenye relationship yoyote, either ni wagonjwa au waoga na uoga huu wa uhusiano baina ya jinsia mbili hupelekea punyeto matokeo yake waganga wa nguvu za kiume ni dili kweli siku hizi mjini.

Nina rafiki yangu mwanachuo ni 22 hana uhusiano wowote na msichana na ni mwoga kweli ameathirika na punyeto, nimsaidiaje?
Sema naomba msaada mimi nimuathirika wa punyeto..
 
nina miaka 24 na sijui mwanamke anafananaje zaidi ya kwenye picha
USIJALI MMKUUHUWA INATOKEA KWA BAADHI....ILA INA MADHARA KISAIKOLOJIA TU UKIKUTANA MARA YA KWANZAUNAWEZA CHEMKA KWA UOGA FULANI....ILA UKIMPATA MWANAMKEANAYEELEWA ATAKUSAIDIA UTAKAA SAWA PIA KAMA ULICHEMKA.....POINT IS WENGINE TULIPITIA HUKO KUCHELEWA....ILA MUHIMU TAFUTA MTOTO MKALI KIJANA USIWE DISABLED
 
Yaaan kusemaa ukwel uogaa ndo unaniponzaaaa
ungekuwa mdau wa karibu lazimaningekusakizia demu.....muhimu sana ina madhara ukiwa 20's af hugusi utajikuta unapiga punyeto....ila tulia hivo hivo usijevamia majanga....maana maandikoyanasema usuzini...semakiubinadamu tu tunazini....tafuta siku ushtue acha uoga tafuta namba pia ....
 
Japo kutokuwa na mahusiano sio ujanja lkn punyeto ndo upuuzi ulopitiliza! Usimfanyie vitu vya kumlazimisha.....anatakiwa aamue mwenyewe..... Mshauri aende kwa wana saikologia wamsaidie....huko anaweza kuwa wazi na kusaidika.
 
mwambie ajiunge jamii forum kuna mademu kibao wamekosa soko wanatafuta wanaume
 
Back
Top Bottom