Wakuu,
Kuna jirani yangu hapa ameoa,ana kama miaka 3 tangu afunge ndoa, lakini cha kushangaza kila mahali ni kushikana shikana na kubusiana.
inakera sana tabia hii.
Habari za usiku wanaJamiiForums,
Poleni na mihangaiko ya kutafuta maisha.Kuuliza sio ujinga,nauliza kuna mahusiano ambayo yamewahi kutokea hapa JamiiForums ikapelekea watu wakafunga na ndoa...
Kwa wale tuliosoma majohe praimari,
High libido ina maanisha hali yakuwa una uhitaji usio wa kawaida wa kufanya sex mara kwa mara.
Kwa upande mwingine ukiwa na mwenza wa namna hii, unaweza...
Wadau zama hizi za teknolojia ni rahis sana mtu kujua hali ya timu pinzani ikoje ili waje na mfumo gani wakushambulia, hivyo basi usichukulie poa WhatsApp status za mpenzi wako zisome tena kwa...
Ujio wa under 20 mango g umeleta competition kubwa sana kwa vijana hapa MMU. Kilichonistua hata mkongwe kama Asprin nae anakanyatia haka ka binti kenye swarga za ha. Yaani dia kanaita diha mwe...
Ni binti ambae tumedumu nae miaka mitatu kwenye mahusiano tumekuwa tukipitia changamoto nyingi sana kwenye mahusiano yetu hasa suala la dini na wazazi lakini bado tumekuwa tupo pamoja na kupigania...
Wanawake wa zamani
Miaka ile tunakua ili wanawake wanasifa zao ambazo kwa sasa zimepotea na kuondoa ladha flani ya mapenzi au mahusiano.
1. Ukimtongoza mwanamke hawez kukubalia mara moja lazima...
Nipo kwenye wakati mgumu naomba unisaidie kimawazo.
Mimi nipo kwenye mgogoro na mke wangu na moyo wangu umeshindwa kumaliza kabisa.
Iko hivi, mwanamke wangu tulianza kuishi tangu 2012, makazi...
Kwanini wanawake wa kiafrica Zaidi ya %99.99 Ni wanafki sana hujifanya hawajui chochote wakati wa kufanya mapenzi wanajilazaga kitandani pyee km magogo hawatoi ushilikiano kwa waume/wapenz wao na...
Shida ni kwamba wakati mtu anaanza kukusaliti wewe ndio unakuwa mtu wa mwisho kujua.. ni heli maumivu ya mwili kuliko maumivu ya moyo wa mapenzi...
Endeleeni kupendana
Wakuu mamboz!
Mimi ni kijana wa kiume sijui kitu chochote namna ya kufanya tendo , nifundisheni kuanzia mwanzo mpaka mwisho na jinsi ya kumcare demu, n.b ikiwezekana nifundisheni na style
Heri ya mwaka mpya ndugu zangu..
Bila ya kupepesa macho niwaambie wanaume wenzangu ukweli ulio mchungu kabisa,
Kama mke ulie nae, mpenzi au mchumba hukumkuta Bikra jua kabisa ni mke halali wa...
Haijalishi nitaonekana ni mtu wa aina gani lakini huu ndiyo ukweli,eidha utaukataa Kwa Lugha za matusi au utaukubali!
Kwenye hili hata kama nitatengwa na dunia nikabaki peke yangu lakini huu...
(Sababu 7 za msingi zinazomlinda mwanaume kiheshima, kiafya, kiakili na kifedha)
Katika dunia ya sasa ambapo maadili yanazidi kuyumba, kuna wanaume wengi wanaojikuta wanasamehe usaliti mkubwa wa...
Habarini wana JF,
Kuna kitu napitia..sijui kama nimeathirika na mahusiano niliyokuwa nayo ama ndio asili yetu wanawake ama ni hatua tu napitia katika maisha..
Iko hivi..nimekuwa na mahusiano na...
Katika mahusiano karibu kila mtu ana taswira yanani ana muhitaji ambaye anaona watafikia malengo kwenye ulimwengu wao wa mahusiano.
Ugumu huanza pale ambapo yule aliyeko kwenye taswira yako...
Kwanini ukitoka kufanya Ngono ya ghafla na Mwanamke uliyempata juu kwa juu (kumtongoza kwa haraka na akakukubalia) ukishamalizana tu nae (bila ya Kuona) na ukitoka nje ya Loji au Gesti ukisema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.