Mathias Emma
Member
- May 31, 2017
- 34
- 72
Kuna siku Niko club ya usiku nacheza macho yangu yakaangukia kwa mdada flanj hivi alikuwa beautiful kweli Sasa katika kumchombeza akawa amekubali bwana akanieleza yeye anaishi pekee yake kwake khy nijaribu na hapo club twende tu.
Basi bila hat kuwaza na huku mamb si mambo tugaongozana tukafika kwakuwa alikuwa amelewa kiasi akajitupa kweny sofa moja TU ambalo lililokuweno ndani chumba chake Sasa wakati na mgusagusa c ndo tukasikia mlango unagongwa dah nilihaha
Sana akanieleza ww nijifanye ni kaka yake nimekuja kumsalimia nasoma chuo, bwanaaaa akanipa shuka nikalala pale kweny Kochi akaingia akanikuta akamuuliza Nani huyu? Akajibu "Ni kaka yangu amekuja kunisalimia ametoka chuo."
Jamaa akaingia chumbani kuanza kula vitu, sasa mm Niko nasikilizia sebleni, dah! Asubui ilipofika nikaaga kuondoka, jamaa akasema chukua hela ya nauli hii hap! Sikuamini Kam nimetoka salama.