Ni msichana gani aliyekuvutia wakati wa enzi za ujana wako wakati upo shule, lakini hukumpata?

Jindal Singh

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
1,857
1,538
Salaam JF,

Si muda wote wa kushughulika na ujenzi wa taifa lkn kuna muda mwengine wa kurelax na kukumbuka adolescence. Kama head inavyosema.

Mimi nilimpenda sana mdada mmoja aitwaye Jane Damian wakati nipo primary. Kwakuwa nilikuwa brave darasani nilijua nitamng'oa tu! But issue ikachange na kumkosa. Mpaka sasa hivi sijui yuwapi JD.

Ila sasa nishakuwa mature na utoto nimeacha. Vipi na wewe mwenzangu.
 
Daah kuna wadada wawili nilikua nasikia raha sana kuwaona aisee. sababu kubwaaa ya kusikia raha ni shingo zao zilivyokua zina mawimbi kama mke wa mzee wa msoga. Mmoja alikua anaitwa Rahma na mwingine Faudhia.....aiseee acha tu hawa watu sijui wako wapi sasa hivi.....anyway na mimi nimepata wangu sasa anashingo kama hiyo!!
 
Dah! Kuna kadem kalikuwa kanaitwa Nasra. Huyu mtoto ni dizain ya wale watoto wa Kielitrea... duh, alikuwaga ananikosha roho sema haya mambo aliyaanza mapema na watu ambao nisingeweza kushindana nao. So I bowed out. But mpaka namaliza shule ya msingi huyo mtoto alikuwa ananiumiza bichwa la juu!
 
Georgina at Mbuyuni Primary!! Later on nilikutana nae chuo Ila mijamaa ilikua ishajiweka so nikawa Mpole, nikajaga kupoteza namba Yake baada ya kumaliza chuo! Mpaka Sasa sijui yuko wapi Ila Ni mtoto Mkali sana!! Alikua anasomea sheria Enzi hizo!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom