Mrejesho: Nimeamua hivi kuhusu ndoa yangu

Mrejesho: Nimeamua hivi kuhusu ndoa yangu

Dola Iddy Wa Chelsea

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,535
Wakuu awali ya yote NIWASHUKURU kwa mawazo yenu yenye tija na nguvu katika hatma ya maisha ya ndoa yangu, nimeamua haya mambo nitakayo yafanya baada ya kupata ushauri wenu.
1.NIMEAMUA KUACHANA NA MKE WANGU RASMI.

2.NITAMRUHUSU AENDE NA MTOTO WANGU NA MIMI NITAMSAIDIA KATIKA MALEZI YA MWANANGU KWA HALI NA MALI.

3.KUHUSU BINTI WA KINYATURU NIMEAMUA NITAMFUATILIA KIUNDANI NA ENDAPO ATAKIDHI VIGEZO VYA KUWA NAE BASI NITAMUOA.

AHSANTENI SANA NA MUNGU AWABARIKI.
 
Mkuu haya maamuz uliyafanya kabla hujaleta ule Uzi wa kwanza so endlea tu
 
Back
Top Bottom