Wanawake karibia wote wamevimba makalio, mtatumaliza jamani!

Wanawake karibia wote wamevimba makalio, mtatumaliza jamani!

Nipo hospitali nafungwa P.O.P ya shingo kwa mambo hayohayo ya kuangalia upande mmoja[emoji1]
Umetsha mkuu tuko chama moja , kuna wengne wanapta wafupi hapa stand posta ..wamejazia balaa
 
Ningekua na uwezo ningefanya kama mfalme mswati ,, ningetafuta vigori 30
 
Back
Top Bottom