kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 13,965
- 26,182
habari za sahivi jamani?
kuna binti tulikua na uhusiano nae na alikuwa ananipenda sana lakini me nikawa nampenda mtu mwingine asiyenipenda, nikawa nampotezea huyu.
Mwishowe akachoka akaamua kufanya yake tu. So saivi najihisi kumpenda yeye, nitumie mbinu gani kumuomba msamaha ili arudishe moyo kwangu.
Nimpe maneno gani matamu wakuu?