Natafuta rafiki wa kike Mimi ni mwanaume wa miaka 28, Nina stashahada ya ufundi mitambo, nipo dar es salaam, Mbezi. Tutakuwa tunabadilishana mawazo ya maisha. Namba ya simu pm
Aiseeh Leo katika pita pita zangu mm huwa syo mtu wa story za vjiwen ila Leo mlienda mahali tulikuw wanaume tu bas story zlipgwa nyingiii akina s unajua palpo na wanaume wanawake pia huongelewa😂😂...
Huyu mwajumwa jamani mtoto wa kitanga usinibadilishe dini ya kwangu inanishinda kusali mara moja nitaweza ya kwako kama masharti ya kumeza dawa za TB.
Picha isifutwe hiki ni kitaru cha jina langu...
Wadau za saizi nipo hapa bed nimejilaza na shida zangu tu
Nikafikiri 97% ya shida zangu ninazopitia ni kwasababu sijatokea kwenye familia tajiri bali yenye hela
Nikawaza hivi wakina MO au...
Katika harakati zangu za kujitafuta nimesha hamia mitaa mingi lakini kila ninapo hamia kwenye huo mtaa huwa nakutana na vibinti vingi + wanawake wengi pamoja na mishangazi ,
Ila kila nikijaribu...
Kipindi nina mgogoro na mpenzi wangu niliomba ushauri humu JF kutokana na tabia za mpenzi wangu wengi walinishauri nijaribu kukaa naye chini na kuzungumza nae kiupole hatimaye nimefanikiwa na...
Mimi ilikuwa hivi,
Ilikuwa kama ajali tu. Mimi nilikuwa nasali nae kanisani mume wake engineer kuwepo nyumbani ngumu mtu wa kusafiri safiri kwa hiyo ili mke asiwe mpweke nilikuwa kama namsaidia...
Wakuu Nilikuwa kimya sana Kwa miezi miwili huko ndani ndani ( Kwa wanao fuatilia jukwaa la soka wataelewa)
Nimekuwa kimya sana nikifanya research ya uhusiano wa kuoa na kwanini pisi zinakuwa...
Nime give up kabisa nakuoa na nimekuja kuamini ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani kila nikitafuta mke wa kuoa nakosa naambulia hawa wanawake wasioeleweka kabisa
Ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani...
Salute! Hivi makalio makubwa yana faida gani hasa? Mimi naona kabisa, na sio mimi tu, bali hata wataalamu wengi wanakiri hayana faida kwa wewe mwanaume.
Ukipenda sana makalio jitathmini. Aidha...
Watu wengi wamekuwa wakisifia sana wanawake wenye makalio makubwa, hivyo kupelekea wanawake hao kujiamini sana mbele ya jamii kuliko wenzao wenye makalio madogo.
Ukweli ni kwamba hamna faida...
Hivi inakuaje unakuwa na mtu mnafahamiana kwa sababu mlisoma wote O-level tena ni mwanaume mwenzangu kila akinipigia simu lazima aniulize shemeji hajambo? Na hafahamu na sijawahi kumwambia kama...
Wanabodi, najua humu kuna wajuzi wengi sana kwa heshima ya JamiiForums. Kuna jamaa yangu (si Mngoni) lakini alikuwa na demu wa Kingoni tena daktari kitaaluma lakini akiwa amevuka kidogo umri wa...
Hello good people.
Leo nimeonelea tufanye jambo apa kwa kuwapa somo Hawa wadada wa Leo ambao wanajichukulia special sana hasa kwa hivi vizazi vya 2000 na hiki kipya cha 2010
Hawa watu ni...
Baadhi sio wote, wanapokuwa ofisini wanajifanya hawana wapenzi au wapo kwenye mapenzi yanayopumulia machine, kana kwamba wanahitaji faraja.
Ofisini hapa Kuna dada nilimkuta, najua ana mpenzi wake...
Natafuta rafiki mwanamke nipo Dar es salaam, Mbezi ,wakupiga nae stori, mambo ya maisha..n.k. jinsia wa kiume, Nina umri wa miaka 28,dini Mkristo ,Mimi ni fundi mitambo.
Kwa maelezo zaidi njoo pm
Juzi kati mke wangu alikuwa anapitia msongo wa mawazo sana, anasoma ukubwani kwahiyo kubalance biashara na kisomo kinamramba, kama wiki mbili anadeal na kesi ya wizi dukani kwake na mitihani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.