Jamaa ana pesa, nguvu ya ushawishi, vyombo vyote vya dola kaviweka mkononi.
Sasa umegundua anatembea na mkeo umejaribu kumkanya mkeo, mkeo anakujibu ukifanya lolote bwana mapesa atakupotezea...
Wakuu,
Nimekuwa nikibubujikwa na machozi ya huzuni sana kila nikifungua jf jukwaa la MMU nakutana na mada za vijana wadogo wakiwa wamechanganikiwa na mapenzi,utakuta mwingine anasema nimfikishe...
Hell
Ni inachukiza sana mtoto wa kiume kamaliza form six kuoga mpaka umsimamie nenda kaoge na maji ana weka nusu ndoo hapo maji ya moto aoge mtoto nusu ndoo
Kufua mpaka umsimamie fua nguo usipo...
Inashangaza sana mdada anakuwa na mtu wake kwa muda mrefu lakini hamuoi na wala hana mpango wa kumuoa.
Lakini anakuja kupata mtu wa kumuoa cha ajabu kabla ya harusi anakwenda kumpa penzi na...
HIZI NI SIRI AMBAZO MWANAMKE HAWEZI KUKUAMBIA
1. Idadi ya wapenzi wake wa zamani
Wanaume wengi hupenda kujua wao ni wangapi kuwa na mwanamke Fulani. Lakini mwanamke kamwe hawezi akakwambia wewe ni...
Mimi, Powell Gonzalez lazima nioe wanawake wawili. Wa kwanza atakuwa mtu wa kabila au asili yoyote lakini wa pili lazima awe anatokea Ujerumani.
Namaanisha 'A German girl', elewa neno 'German...
Kabla ya kuoa, nilidhani ndoa ni chanzo cha furaha na baraka. Nilitarajia amani na utulivu, lakini ukweli umekuwa tofauti kabisa. Nimegundua kwamba changamoto za ndoa zinaweza kukuletea presha...
Naandika uzi huu wa historia yangu ya mahusiano ya kimapenzi na dada mmoja niliyempenda lakini wazazi wake wakaharibu na sasa wanajuta
Hii ni historia ya kweli na sio fiction. Katika maisha yangu...
Tupo katika msimu wa baridi kali, jana nilikuwa Dodoma kikazi, nikamaliza mambo yangu muda ukiwa umesonga sana nikaona busara ni kulala ili asubuhi na mapema nianze safari kurejea mkoani kwetu...
Kipindi cha nyuma tulikuwa tuki sex anatoa sana miguno yaani show inamchanganya kiasi cha kwamba anaropoka maneno mengine ya ajabu.sasa mimi hiyo hali ikanifanya nijiamini zaidi kwamba namfikisha...
Kabla hujaanza kulalamika kuhisu pesa ya mkeo inaenda wapi fatilia vitu hivi kwanza usijekuonekana miyeyusho
◇ Kuna mashuka mangapi ndani, au unajua kujifunika tu na haujui limetoka wapi?😁
◇...
Mfalme amesema: “Anayeonywa mara nyingi akawa mkaidi, ataangamia ghafla asipone tena.”
Naongea na wewe, unayepiga kampeni ili kuwafanya watu wakatae ndoa. Pole sana kwa changamoto ulizokutana...
Kuna hili jambo limenikuta. Mwaka jana binti yangu alimaliza kidato cha nne shule ya serikali ambayo ni mchanganyiko wasichana na wavulana, baadae akapangiwa kidato cha tano shule pia...
Watu wenye malalamiko ya ndoa na mapenzi zaidi na ambao wanatembea hadi na mafuta kwa ajili ya wagoni wao ni maskini au wa kipato cha kawaida, watu matajiri wao wakishindwana kwenye ndoa au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.