Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa wanawake swali lenu ni hili, je utakubali kuolewa na kijana ambaye umepata taarifa za KWELI kwamba alishaua mwanamke mwenzio kwa ajili ya wivu wa kimapenzi na ameshakaa jela ila kwa figusu za...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Bwana harusi mmoja chini Misri amepatwa na bahati mbaya ya ajali siku moja kabla ya harusi yake. Wakati sherehe ilikuwa ikifanyika siku moja kabla ya harusi yake, risasi zilizofyatuliwa...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Juzi nilienda kupima ukimwi katika mazungumzo na daktari aliweza kunielewesha namna michubuko inavyotokea na kupelekea maambukizi na sababu ambazo huwezi kukwepa kupata maambukizi ambazo ni pamoja...
3 Reactions
23 Replies
5K Views
Baada ya post mbalimbali hapa jf kuhusu wanaume wa Dar nimeamua kuja kujionea mwenyewe kama ni hadithi za kutungwa au ni kweli!90% ya post zinazosema mwanaume wa Dar ni lege lege ni kweli kabisa!
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Wanawake: 1. Kukasirika sana (Anger) 2. Kuukataa ukweli (Denying) 3. Kumpunguza thamani ampendaye kwa kuongelea negative sides zake (Bargaining) 4. Kuwa na mawazo mengi (depression) 5...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
East Africa Television (EATV) Mwanamke mnyanyua vyuma maarufu wa nchini Urusi, Natalia Kuznetsova, amesema anatamani kuwa na mchumba atakayemuoa baadae lakini wanaume wengi wamekuwa wanamuogopa...
0 Reactions
57 Replies
10K Views
  • Poll Poll
Habari wanajamvi, Leo ninawasogezea hii ambayo ni sehemu ya uzoefu nilionao katika maisha yangu ya mahusiano. Mara nyingi imezoeleka na inafahamika hivyo, kwamba wanaume ndio walaghai katika...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Ni matumaini yangu nyote mko salama kabisa na mnalisongesha kinadharia na kama sio kivitendo sera ya viwanda. Najitokeza kwenu kushare nanyi mkasa unaonikwaza na kuniumiza nafsi,to shorten huu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau mnisaidie kimawazo mwenzenu maana hadi sasa na li umri linakwisha sina mwanamke atakayeweza kusimama mbele za watu na kujitambulisha yy kuwa na mimi ni mtu wake maana kama mzigo nabeba flesh...
0 Reactions
77 Replies
9K Views
Hakika mwanamke ni wakuthaminiwa na kuheshimiwa katika jamii, japo leo mwanamke anakandamizwa na mfumo dume unamkandamiza kijinsia kiukweli bado wanawake tuna wajibu mkubwa sana. Katika siku...
5 Reactions
9 Replies
3K Views
MWANAMKE ASIYEKUWA NA UPENDO KWA NDUGU WA MUME WAKE.... TAZAMA MUMEWE ALICHOKIFANYA Siku moja wakiwa wamekaa pamoja mume pamoja na mke wake, mume akamwambia mke wake... "Mke wangu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Salaam ziwafikie wote na amani ya muumba itulinde hadi siku inaisha salama, Kama kichwa kilivyotangualia kuelezea, Mada ni kwanini wanawake wanaofanya kazi kwenye mabar ama mahotel makubwa ama...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hii story ya huyu jamaa imenichekesha na kunishangaza sana Hebu tiririka nayo “Mimi ni kijana mwenye miaka 29 na demu wangu ana miaka 24. Mimi ni rijali tu na mimi na demu wangu tunafurahia...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Serikali ya Burundi imewataka Watu wote walio katika Mahusiano ya kuanzia miezi Sita na kuendelea lakini hawajaoana wafanye hivyo upesi / haraka sana ndani ya miezi miwili tu ijayo vinginevyo hao...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari ya Leo Waungwana naomba kuuliza wanaume ni hivi napenda sana kumuona mume wangu amevaa Kanga yangu baada ya kikoi,mfano on weekend yuko nyumbani anavaa kanga yake ya kiuno chumbani ila...
2 Reactions
232 Replies
21K Views
Soma kichwa cha habari hapo juu, Km uko tyr kwa hitaji langu kuja dm tuyajenge kwa alie serious,
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi, Naomba niende moja kwa moja kwenye mada mwezi wa kumi mwaka huu niliamishiwa kikazi mkoani Manyara Babati mjini. Nilihangaika kutafuta makazi nikafanikiwa lakini sasa...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Kama kichwa kinavyosema. Juzi nikiwa natoka Mkoa mmoja kuelekea mkoa wa jirani, niliketi na mwanamke mmoja mpuuzi sana. Akaanza kuongeaaa nikabidili niivute bible yangu nikiwa naisoma kitabu...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Hebu tuambizane hapa na tuwe wa kweli , hivi kati ya mwanamke na mwanaume nani akiwa mchepukaji sugu huwa inauma saana?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Je, ni urefu au Unene? Hukatwakatwa kama kisu na kurushwa mita kadhaa! Je, urefu wa uume ni suala muhimu kwa mwanamke kuridhika kimapenzi? Hii ni imani potofu ambayo imewafanya wanaume wengi...
1 Reactions
14 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…