Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,514
- 146,036
What's really good JF MMU massive..??
I hope y'all's weekend is off to a great start as is mine's. I'm having a bang-up time in these neck of the woods.
It's been a minute since the last time I hung out witchu y'all [forum-wise].
I have this insatiable wanderlust that has me gallivanting all around the globe to the detriment of my being here...which is kinda good in a way...
Sasa leo hebu tulonge kidogo kuhusu first dates...
Hivi mnachukuliaje suala la mtu ambaye mmetoka kwa mara ya kwanza kutema tema mate?
Tuseme mmeenda kwenye moja ya hoteli za ufukweni mwa bahari.
Mmekaa kwenye ki gazebo chenu mnapiga stori vizuri tu. Ila kila baada ya muda mwenzio anatema mimate.
Sasa, binafsi ninajulikana [na baadhi ya watu] humu kwa kuwa mwepesi wa kupatwa na kinyaa. Kuna hadi msemo wa 'kinyaa cha Ngabu' [emoji3]
Hali kama hiyo kwangu ni deal-breaker. Ndiyo, najua kutema mate ni hali ya kikawaida kwa binadamu kama ilivyo kujamba na kadhalika.
Lakini kuna kupitiliza na kuna namna ya kuficha ili ufanye hivyo katika faragha yako mwenyewe.
Sasa mtu anayetema tema mimate kwenye first date...hapo kutakuwepo hata na kiss baadaye kweli?
Mtu kama huyo mimi nitamchukulia kuwa hana kabisa decorum. Huko kutema kwake mate hovyo hovyo ni breach of ettiquette.
Mbaya zaidi kuanzia hapo kila nikimwona picha ya yeye kutema mate itakuwa inanirudia rudia kichwani. Hivyo hakutakuwa na uwezekano wa second date hata kama ana qualities zingine nzuri.
So what say you.....