Mafiga matatu katika Mapenzi/Ndoa


Ghamoghi

Ghamoghi

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2017
Messages
739
Likes
1,503
Points
180
Ghamoghi

Ghamoghi

JF-Expert Member
Joined May 15, 2017
739 1,503 180
Hizi ni sifa kuu ambazo mwanaume anatakiwa awe nazo ili kudumisha mahusiano au ndoa yake na mpenzi wake
.Figa la kwanza
Must be good in bed yaani umrizishe mwenzi wako kimapenzi.

.Figa la pili
Uwe presentable & care>> aweze kukutambulisha au kujivunia mbele ya wenzake huyu ndio mpenzi/mume wangu.Na ku match wasifu wa ndani hasa interest

.Figa la tatu
Must be financial fit>> uwe na pesa kiasi wanawake wana matumizi na pesa hata ktk kujiremba na anasa nyinginezo(si wote majority).Pia hupenda kuangalia familia yake kwa hiyo akihitaji support wewe ndio wa karibu.Wanahitaji kinacho itwa security si kwamba pesa tu kwa sababu ya anasa
NB: Uvumilivu ni muhimu
 
Alfred

Alfred

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2008
Messages
1,403
Likes
1,497
Points
280
Alfred

Alfred

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2008
1,403 1,497 280
As a Man, Whats important now is to Have Alot of Money, not only money yaani alot of Money then to make baby in every Country!
 

Forum statistics

Threads 1,236,300
Members 475,050
Posts 29,253,351