Nimerudi jana Jioni.Jiangalizie mwenyewe pichan.Hali ya watu wenye jinsia ya Kiume ni mbaya sana

GuDume

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Messages
5,764
Likes
9,809
Points
280
GuDume

GuDume

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2015
5,764 9,809 280
kwa siku kadhaa nlikuwa kikazi mkoani kilimanjaro,nikarudi singida na nikapitia pia dodoma kwa ajili ya mambo kadhaa. mimi hupenda kutumia kila nafasi niipatayo pia kuendelea na utafiti ambao nimeanza kuufanya muda mrefu sasa. hali ya huko mikoani ni mbaya sana. nadhan wengi mnakumbuka kwa mara ya kwanza katika historia jinsi ambavyo tulifadhaishwa sana sisi wanaume wa kitanzania na ile kashfa ya dada zetu kwenda nchi jirani kuhudumiwa huduma ya kimwili. Wakodi wanaume kutoka Kenya. hili ni tukio ambalo mpaka leo mfanyakaz mwenzangu mmoja wa kenya amekuwa akinitania sana.

nadhan wengi tunakumbuka juzi juzi hapa shinyanga jinsi ambavyo kuna jamaa alifariki kwa sababu alienda kwa mganga ili wakampump mashine yake awe strong.haijapita miezi maskini tumempoteza kijana mwenzetu dodoma kwa hali kama hiyo. sasa nimeona ni bora niwaambie kinachoendelea huko mikoani.

inasemekena kutokna na wanaume wa mikoani kutokuwa na nguvu za kutosha wengi waliamua wanawake wao wawe wanakeketwa ili kuwapunguza hamu ya kufanya mapenzi.na hili limekuwa tatizo sana kwa baadhi ya mikoa mpaka serikali kuingilia kati.sisi wa huku mjini tunataka msikeketwe dada zetu.mje mkiwa kamili na mahamu yenu yooooooote mje nayo tutashughulika nanyi bila kinyongo.

malalamiko mengine niliyoyapata ni kuwa watu wenye jinsia ya kiume huko mikoani wanabaka sana wanawake wao. wanawabaka mpaka imefikia kipindi wanawake wa huko wanaamini hiyo ndiyo jinsi ya kufanya mapenzi.yaani agegedwe mpaka kule chini kuchubuke. maana wengi wameota sugu sababu ya aina hiyo ya ufanyaji mapenzi. na wanataka wakija huku nasisi tuwafanye hivyo hivyo wakati sisi hatumaini kuwa hiyo ndo starehe na pia tunaogopa magonjwa.
07dcmbege-jpg.629911

hii kitu asubuh na mapema watu wenye jinsia ya kume huko mikoani ndo kinywaji chao kikubwa na hivyo kusababisha kukosa nguvu na ukuaji mzuri wengi wao hukomaa tu na kuwa na jasho na ngozi mbaya kama wazee ingawa ni vijana wadogo tu.

1480631807523-jpg.629912

wengi tulikuwa hatujui kuwa mashoga wa kule huvaa hadi shanga. hii ilitokea tanga huko ambako inasemekana hawa wakishajua kuoga hukimbilia dar kwa sababu huku wanaamini watapata dau kubwa.

1471372279964-jpg.629915

watu wenye jinsia ya kiume wa mikoani huwa wananyanyasika sana wanapokuja kukutana na dada zetu warembo hii ilitokea huko singida huyu dada alisoma dar akarud kwao na hatimaye kuolewa huko hapa akiwa na mumewe ambaye ni mzaliwa na mkazi wa singida eneo la singidani.

163e6f4d9e1d4f249a5f9c11b06f3f86-jpg.629916

huyu mwanaume wa kijijini huko mikoani akigombana na mkewe
9e5b8770e34d1b081859d83b09f94a04-jpg.629917

watu wa huko mikoani hata ustaarabu kwao ni mgumu sana.

0fed7795fe11f8b10d9a7528176d0756-jpg.629918

mtu mwenye jinsia ya kiume huko mkoani akichapwa viboko baada ya kuiba sahani tatu za wali.mbele ya umati wa watu.
 
Papushikashi

Papushikashi

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2016
Messages
5,600
Likes
4,860
Points
280
Papushikashi

Papushikashi

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2016
5,600 4,860 280
Haaaa...ngoja niwahi siti namimi
 
Tater

Tater

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Messages
4,233
Likes
10,152
Points
280
Tater

Tater

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2015
4,233 10,152 280
Naona wapaka poda na wavaa vipedo mmekuja tena.

Ngoja ninywe chai kwanza, nitarudi..
 
stickvibration

stickvibration

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2017
Messages
2,532
Likes
3,804
Points
280
Age
45
stickvibration

stickvibration

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2017
2,532 3,804 280
Ati watu wa mikoani haya wewe ni wawapi,,,!!!
Tuanzie hapo kwanza
Picha zoooote ume adit tena hizo picha za looooong time
Wewe hutafuti kiki unatafta egzozi
 
Tajirimsomi

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2017
Messages
4,635
Likes
4,750
Points
280
Age
48
Tajirimsomi

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2017
4,635 4,750 280
Hahaha we jamaa
 
N

No signal

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2014
Messages
486
Likes
748
Points
180
N

No signal

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2014
486 748 180
Wanaosemaga kuhusu wanaume wa mikoani huwa nawachukulia kama washamba flani hivi.....Kwa taarifa yenu Mji wa Dar ni kama Nchi ya Marekani hauna mwenyeji,sasa wewe unaejifanya eti umezaliwa dar unajiunganisha tu ili na wewe uonekane hujachelewa ila elewa kwamba chimbuko la wakazi wote Dar ni kutoka mikoani acheni ushamba.
 
Papushikashi

Papushikashi

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2016
Messages
5,600
Likes
4,860
Points
280
Papushikashi

Papushikashi

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2016
5,600 4,860 280
Wanaosemaga kuhusu wanaume wa mikoani huwa nawachukulia kama washamba flani hivi.....Kwa taarifa yenu Mji wa Dar ni kama Nchi ya Marekani hauna mwenyeji,sasa wewe unaejifanya eti umezaliwa dar unajiunganisha tu ili na wewe uonekane hujachelewa ila elewa kwamba chimbuko la wakazi wote Dar ni kutoka mikoani acheni ushamba.
Kwa maana hiyo vita kati ya wanaume wa mkoani na wanaume wa dar ni vita hewa?
 
N

No signal

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2014
Messages
486
Likes
748
Points
180
N

No signal

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2014
486 748 180
Kwa maana hiyo vita kati ya wanaume wa mkoani na wanaume wa dar ni vita hewa?
Vita ya kishamba tu sana......yaani imeshajengeka kwamba mtu akiwa anaishi Dar ni mtu flani hivi wa tofauti mpenda vitu laini laini,bishoo bishoo flani hv....anajua mambo yote....yan ushamba ushamba wa kizamani sana. Dar kuna nini kipya ambacho mkoani hakipo? Dar ilikuwa zamani na si leo,Asilimia 10 tu ya wakazi wa Dar ndio wanaofaidi mji na mliobaki wote wakimbiza upepo tu...acheni ujinga.
 
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
13,148
Likes
9,871
Points
280
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
13,148 9,871 280
Wanaosemaga kuhusu wanaume wa mikoani huwa nawachukulia kama washamba flani hivi.....Kwa taarifa yenu Mji wa Dar ni kama Nchi ya Marekani hauna mwenyeji,sasa wewe unaejifanya eti umezaliwa dar unajiunganisha tu ili na wewe uonekane hujachelewa ila elewa kwamba chimbuko la wakazi wote Dar ni kutoka mikoani acheni ushamba.
Leo limewafika mnalia kwa nyuma eeh! Na mtatandikwa sana na wake zenu
 
salaniatz

salaniatz

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Messages
2,426
Likes
2,744
Points
280
Age
27
salaniatz

salaniatz

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2014
2,426 2,744 280
Lie lie lie lie
 
GuDume

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Messages
5,764
Likes
9,809
Points
280
GuDume

GuDume

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2015
5,764 9,809 280
ungekaa kimya tusingejua kuwa wewe ni maamuma. ona sasa. kila mtu amefaham kuwa ni kiliza kwenye IT. hebu nioneshe picha ambayo imekuwa edited. werevu ili kuficha ujinga wao hunyamaza.wapumbavu wao hujivumbua kuwa ni wapumbavuh. picha gani hapo imehaririwa?
Ati watu wa mikoani haya wewe ni wawapi,,,!!!
Tuanzie hapo kwanza
Picha zoooote ume adit tena hizo picha za looooong time
Wewe hutafuti kiki unatafta egzozi
 
moses Mwanja

moses Mwanja

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2016
Messages
539
Likes
452
Points
80
Age
34
moses Mwanja

moses Mwanja

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2016
539 452 80
kwa siku kadhaa nlikuwa kikazi mkoani kilimanjaro,nikarudi singida na nikapitia pia dodoma kwa ajili ya mambo kadhaa. mimi hupenda kutumia kila nafasi niipatayo pia kuendelea na utafiti ambao nimeanza kuufanya muda mrefu sasa. hali ya huko mikoani ni mbaya sana. nadhan wengi mnakumbuka kwa mara ya kwanza katika historia jinsi ambavyo tulifadhaishwa sana sisi wanaume wa kitanzania na ile kashfa ya dada zetu kwenda nchi jirani kuhudumiwa huduma ya kimwili. Wakodi wanaume kutoka Kenya. hili ni tukio ambalo mpaka leo mfanyakaz mwenzangu mmoja wa kenya amekuwa akinitania sana.

nadhan wengi tunakumbuka juzi juzi hapa shinyanga jinsi ambavyo kuna jamaa alifariki kwa sababu alienda kwa mganga ili wakampump mashine yake awe strong.haijapita miezi maskini tumempoteza kijana mwenzetu dodoma kwa hali kama hiyo. sasa nimeona ni bora niwaambie kinachoendelea huko mikoani.

inasemekena kutokna na wanaume wa mikoani kutokuwa na nguvu za kutosha wengi waliamua wanawake wao wawe wanakeketwa ili kuwapunguza hamu ya kufanya mapenzi.na hili limekuwa tatizo sana kwa baadhi ya mikoa mpaka serikali kuingilia kati.sisi wa huku mjini tunataka msikeketwe dada zetu.mje mkiwa kamili na mahamu yenu yooooooote mje nayo tutashughulika nanyi bila kinyongo.

malalamiko mengine niliyoyapata ni kuwa watu wenye jinsia ya kiume huko mikoani wanabaka sana wanawake wao. wanawabaka mpaka imefikia kipindi wanawake wa huko wanaamini hiyo ndiyo jinsi ya kufanya mapenzi.yaani agegedwe mpaka kule chini kuchubuke. maana wengi wameota sugu sababu ya aina hiyo ya ufanyaji mapenzi. na wanataka wakija huku nasisi tuwafanye hivyo hivyo wakati sisi hatumaini kuwa hiyo ndo starehe na pia tunaogopa magonjwa.
View attachment 629911
hii kitu asubuh na mapema watu wenye jinsia ya kume huko mikoani ndo kinywaji chao kikubwa na hivyo kusababisha kukosa nguvu na ukuaji mzuri wengi wao hukomaa tu na kuwa na jasho na ngozi mbaya kama wazee ingawa ni vijana wadogo tu.

View attachment 629912
wengi tulikuwa hatujui kuwa mashoga wa kule huvaa hadi shanga. hii ilitokea tanga huko ambako inasemekana hawa wakishajua kuoga hukimbilia dar kwa sababu huku wanaamini watapata dau kubwa.

View attachment 629915
watu wenye jinsia ya kiume wa mikoani huwa wananyanyasika sana wanapokuja kukutana na dada zetu warembo hii ilitokea huko singida huyu dada alisoma dar akarud kwao na hatimaye kuolewa huko hapa akiwa na mumewe ambaye ni mzaliwa na mkazi wa singida eneo la singidani.

View attachment 629916
huyu mwanaume wa kijijini huko mikoani akigombana na mkewe
View attachment 629917
watu wa huko mikoani hata ustaarabu kwao ni mgumu sana.

View attachment 629918
mtu mwenye jinsia ya kiume huko mkoani akichapwa viboko baada ya kuiba sahani tatu za wali.mbele ya umati wa watu.
23231359_1930193877245604_4341829319140909876_n-jpg.629971
 
Ambiele Kiviele

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Messages
14,173
Likes
25,507
Points
280
Ambiele Kiviele

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2014
14,173 25,507 280
Wanaume Wa Mikoan Vs Wanaume Wa Dar

Kiviere Wa Usangi
 
ArIeN

ArIeN

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2017
Messages
5,878
Likes
3,857
Points
280
ArIeN

ArIeN

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2017
5,878 3,857 280
Hahahaha aisee.. Hii vita haitakaa kuisha.
 
Forum statistics

Threads 1,235,909
Members 474,863
Posts 29,240,266