Promethazine
JF-Expert Member
- Sep 6, 2017
- 262
- 260
Habari za jioni wanaJF.
Hii hali ya kijana kuajiriwa katika ofisi Fulani, ukiwa bado mpya kwenye ajira ukiwa na ari mpya, kasi mpya, na nguvu mpya inafahamika kwamba lazima utafanya kazi kwa bidii zote zaidi kulinganisha na seniors, kwa maana hicho ndicho kidogo ulichobarikiwa kupata.
Sasa je haijawahi kuwa tatizo kwa ma senior workers?
1.Kuonekana kama unajipendekeza, kufanya kazi sana.
2.Na je suala la mawasiliano na workers of opposite sex, haikuleta shida katika kazi yako?
3.Kuonekana kama vile unaringa ama kujisikia kutokana na namna unavyofanya kazi, kwa mrejesho mzuri unaopata.
Hebu tupeane maujuzi wakuu, hizo changamoto zilikuathiri vipi na ulizikwepa vipi? Kwa kupunguza ufanisi wa kazi yako? Ama kwa kukata mawasiliano na workers of different sex.
The struggle is real.