Nimefukuza mgeni asubuhi asubuhi

Nimefukuza mgeni asubuhi asubuhi

msemakweli2

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
1,627
Reaction score
1,886
Wageni wengine wanakuwa na matatizo kweli,

Alikuja kutoka mkoani eti kusoma twisheni, mtoto wa ndugu yangu wa kike, yupo A level, ananitumia msg kila mara mara oooh umekula, mara leo umependeza, mara nikupikie nini leo, namjibu mamdogo yaani "wife" atapika, nikimtajia jina wife hajibu, nikamwambia naomba mawasiliano yote uwe unafanya na mamdogo sio mimi, kakaa kimya.

Juzi ananitumia tena msg natamani tuwe tunakaa sebuleni tunaongea ongea lakini nikikuona na mamdogo naogopa, huwa namuogopa sana mke wako nikimuona sina amani, sikumjibu ASUBUHI NIMEAMKA NIKAMWAMBIA WEKA NGUO ZAKO KWENYE BEGI LEO NAKUPELEKA UBUNGO URUDI KWENU.

Shenzi kabisa mitoto ya namna hii sio ya kuichekea chekea linataka lianze kuninyatia nyatia na kuchonganisha na kipenzi mke wangu.
 
wageni wengine wanakuwa na matatizo kweli,alikuja kutoka mkoani eti kusoma twisheni,mtoto wa ndugu yangu wa kike,yupo A level,ananitumia msg kila mara mara oooh umekula,mara leo umependeza,mara nikupikie nini leo,namjibu mamdogo yaani "wife" atapika, nikimtajia jina wife hajibu,nikamwambia naomba mawasiliano yote uwe unafanya na mamdogo sio mimi, kakaa kimya, juzi ananitumia tena msg natamani tuwe tunakaa sebuleni tunaongea ongea lakini nikikuona na mamdogo naogopa,huwa namuogopa sana mke wako nikimuona sina amani,sikumjibu ASUBUHI NIMEAMKA NIKAMWAMBIA WEKA NGUO ZAKO KWENYE BEGI LEO NAKUPELEKA UBUNGO URUDI KWENU.Shenzi kabisa mitoto ya namna hii sio ya kuichekea chekea linataka lianze kuninyatia nyatia na kuchonganisha na kipenzi mke wangu.
Weka picha tukaone hako katoto ka form 6 jamani kameshindwa kazi kaliyotumwa kuifanya hahahahahahaha
 
wageni wengine wanakuwa na matatizo kweli,alikuja kutoka mkoani eti kusoma twisheni,mtoto wa ndugu yangu wa kike,yupo A level,ananitumia msg kila mara mara oooh umekula,mara leo umependeza,mara nikupikie nini leo,namjibu mamdogo yaani "wife" atapika, nikimtajia jina wife hajibu,nikamwambia naomba mawasiliano yote uwe unafanya na mamdogo sio mimi, kakaa kimya, juzi ananitumia tena msg natamani tuwe tunakaa sebuleni tunaongea ongea lakini nikikuona na mamdogo naogopa,huwa namuogopa sana mke wako nikimuona sina amani,sikumjibu ASUBUHI NIMEAMKA NIKAMWAMBIA WEKA NGUO ZAKO KWENYE BEGI LEO NAKUPELEKA UBUNGO URUDI KWENU.Shenzi kabisa mitoto ya namna hii sio ya kuichekea chekea linataka lianze kuninyatia nyatia na kuchonganisha na kipenzi mke wangu.
well done barikiwa. mwambie na mkeo hayo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom