Natafuta mchumba wa kiume

ayanda

JF-Expert Member
Mar 7, 2013
1,340
750
Habari. ...natafuta mchumba wa kiume alie serious.Nina miaka 34. Nina kazi nzuri tu kwenye taasisi ya elimu ya juu. Ni mweusi, sio mnene. Mkiristu. Nahitaji mume Mkiristu umri kuanzia 34 na kuendelea. Awe na kipato. Awe tayari kusaidiana maisha. Nipo serious mno sihitaji masihara.
 
Niko hapa my nilikusubiri sana njoo tuyajenge!
 
Miaka 34 ulikua unasubiria nini?? Ok haoa kwa huo umri utakua bi mdogo wa wenye vipato make haina namna

Ushauri tafuta mtoto wa masikini kwenye hizo taasisi za elimu umuoe wewe na siyo yeye akuoee

Kwa umri huo piga ua kupata wa sazi yako mjukuu wangu utakesha, huo umri uliouta wa miaka 34 na kuendelea wanadili na wasichana wa 18 mpaka 24
 
Mtoa mada hayupo serious maana wengi wanampa nafasi anakaa kimya funguka tu upate wa kukupa maraha
 
Cha kshika unacho ,mmeo huyohuyo unaesema ka u a like not feeling his presence ,unaona ivo cz unae ,never compare ur husband with ur Xs if ur Xs would b better off they would b ur husbands ,control ur mind AYANDA
 
Habari. ...natafuta mchumba wa kiume alie serious.Nina miaka 34. Nina kazi nzuri tu kwenye taasisi ya elimu ya juu. Ni mweusi, sio mnene. Mkiristu. Nahitaji mume Mkiristu umri kuanzia 34 na kuendelea. Awe na kipato. Awe tayari kusaidiana maisha. Nipo serious mno sihitaji masihara.
Tuchekiane pm
 
Ulishaachana na mumeo? N hao watoto wenu je? Kumbuka ndo hufungwa na Mungu na Binadamu asiitenganishe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom