Nimechoka kuwa single nahitaji mrembo

sumer

JF-Expert Member
Oct 29, 2016
344
222
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, urefu cm175, rangi maji yakunde. Siamini saana juu ya dini but naamini kuna muumba wa vyote. Kabila langu ukinipm utafahamu.

Nimeshaambiwa na wasichana kadhaa kuwa mimi ni handsome ila sitaki kuamini maana ningekuwa hivyo ningekuwa na mtu mpaka saa hivi ila sina na napigwa vibuti kama kawa. Nimejiajiri mimi ni producer wa muziki na nina studio yangu kwa ujumla mimi ni arts ila sijatoka, nimatarajio yangu mimi talented. Elimu yangu ni diploma ya ugavi.

Natafuta msichana mrefu wastani asiwe na kitambi awe na makalio wastani, sitaki mwenye makalio makubwa maana ma x gf akikuwa nayo sikupendelea nilipokuwa natoka nae watu walikuwa wanatuangalia sana. Asiwe bonge, elimu kuanzia form four na kuendelea. Rangi yeyote akiwa na kazi nipoa zaidi au kujiajiri, basi akiwa hana kazi basi hata awe masomoni, lengo ni kutafuta mtu ambae kama tutaendana tujenge family ila hayo nimatokeo.

Kwa atakae feel please tuchekiane pm.

Asante kwakunifatilia hadi mwisho.

Im sick of being lonely!
 
Mmh jaman hata kwenye kuchagua nyanya sokoni huwa hamna ugumu kama wewe unavyochagua mwenza.
Kipi umekosa hapo si lazma vitimie kunamaelewano,huwezi jua yakuta ww wafaa.
 
Always thought 30 years man can't be single, dead wrong.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom