Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,059
- 15,530
Habari wana jamvi. Mm nimeoa mke mwaka mmoja sasa. Nilimuoa binti wa Kikristo baada ya kuridhiana nae ikabidi abadili dini na kuwa muislam. Sasa Tatizo ninalo lipata ni kuwa nimegundua huyu binti anakula KITIMOTO. sasa suala hili limeniuma sana. Siku hizi nashindwa hata kula Romance wakuu nimekuwa sina amani na ndoa hasa ukizingatia mimi ni Muislam wa dhati kabisa
Naombeni mchango wenu wakuu kabla sijamface mke wangu. Ila ushahidi ninao kabisa na sio mara moja anakula na marafiki zake.
Wasalamu.
Naombeni mchango wenu wakuu kabla sijamface mke wangu. Ila ushahidi ninao kabisa na sio mara moja anakula na marafiki zake.
Wasalamu.