Kila niliyewahi "kutembea" naye hajaolewa.

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
8,697
2,000
Jamani nimestushwa na suala hili sana. Kilomita zangu za umri zimesonga sana. Ktk kuperuzi mitandaoni juzi nimechat na mshikaji wangu mmoja akaniuliza "wewe jamaa una nini wewe?". Nikamuuliza kwann? Akasema yaani wadada wote waliokuwa michepuko wako kule (akataja sehemu niliyokuwa naishi) hawajaolewa hadi Leo.

Hii ikanifanya nijikumbushe na michepuko mingine ambayo nimewahi kukutana nayo ama hata kusimuliwa na watu. Nikagundua wote ni masingo maza hadi leo. Aaah! Nimeshangaa sana hii kitu.

Sina amani ndugu zanguni, tatizo nini? Ni mm peke yangu au iko hivi na kwa wengine?
 
Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,954
2,000
Nakushaur mkuu endelea kuleta story lakin kwa jinsia moja sio leo uko demu kesho tena uko mwana ume haipendez kiongoz wangu
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
149,858
2,000
Jamani nimestushwa na suala hili sana. Kilomita zangu za umri zimesonga sana. Ktk kuperuzi mitandaoni juzi nimechat na mshikaji wangu mmoja akaniuliza "wewe jamaa una nini wewe?". Nikamuuliza kwann? Akasema yaani wadada wote waliokuwa michepuko wako kule (akataja sehemu niliyokuwa naishi) hawajaolewa hadi Leo.

Hii ikanifanya nijikumbushe na michepuko mingine ambayo nimewahi kukutana nayo ama hata kusimuliwa na watu. Nikagundua wote ni masingo maza hadi leo. Aaah! Nimeshangaa sana hii kitu.

Sina amani ndugu zanguni, tatizo nini? Ni mm peke yangu au iko hivi na kwa wengine?
Ukisikia gundu dume ndio hili
 
kwabwina

Senior Member
May 29, 2016
128
250
Jitafakar lakin tuanze na wewe je umeoa? Ndpo utapata majibu Kwann Wao hawaolewi
 
mwayungi

JF-Expert Member
May 9, 2017
1,773
2,000
Huyu sexless haeleweki mara dume mara jike Are you she male??? Tuambie tujue
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
54,683
2,000
Demu wangu wa kwanza kumbikiri, aliolewa, Mumewe akafa akaolewa tena kwa ndoa ya kanisani.

Demu wangu wa pili kumbikiri , kaolewa kwa ndoa ya kanisani Mtwara

Demu wangu wa bikira ya tatu kaolewa Na yuko DSM
Demu wangu wa nne kumbikiri kaolewa Mbeya Na Mimi pia nimeoa kwa ndoa ya kanisani demu ambaye siku mbikiri Mimi.

Nimejitenga Na maroho yote ya muungano Na maagano ya damu ya bikira zao
 
Mangungu

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
2,569
2,000
Jamani nimestushwa na suala hili sana. Kilomita zangu za umri zimesonga sana. Ktk kuperuzi mitandaoni juzi nimechat na mshikaji wangu mmoja akaniuliza "wewe jamaa una nini wewe?". Nikamuuliza kwann? Akasema yaani wadada wote waliokuwa michepuko wako kule (akataja sehemu niliyokuwa naishi) hawajaolewa hadi Leo.

Hii ikanifanya nijikumbushe na michepuko mingine ambayo nimewahi kukutana nayo ama hata kusimuliwa na watu. Nikagundua wote ni masingo maza hadi leo. Aaah! Nimeshangaa sana hii kitu.

Sina amani ndugu zanguni, tatizo nini? Ni mm peke yangu au iko hivi na kwa wengine?

Acha kuwachuliwa watoto wa watu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom