Nilichojifunza kuhusu "marafiki" na "pesa"

okoyoko

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
2,664
3,631
Hello guys

Naposema "marafiki" i mean 5 people whom u are mostly surrounded with

a)Nilijifunza kuwa usiwaambie marafiki zako how much money u have in your bank account haijalishi una pesa nyingi au kidogo, especially kama una fedha nyingi ndo usiwaambie kabisa coz wengi watakuja kukukopa, hlf ukiishiwa ni mwanzo wa kuonekana bwege.

b)Ukila bata kubwaa, kula bata kisiri siri mtu asijue (ili ukifulia sababu ya kula bata, mtu asijue) usiwape marafiki zako hela za kula bata wala kuwanunulia vitu vya gharama, na wakiwa na shida wasaidie unachoweza... ukiwakopesha/kuwasaidia hela isizidi tsh elf 50

c)Kuwa na budget and live within your means, usipende kuomba omba na kukopa hela kutoka kwa marafiki kwa sababu ya shida, bora uwapigie ndugu au ur veeery best & good hearted friend unaemwamini

d) Hata ukionekana una hela coz ya expenses zako (na una hela kweli) waambie umefulia, hata wakikucheka...utawaona wao ndo wajinga

Hao hao marafiki wanaokusifia wakati ukiwa unawapa hela na ku-show off ur luxurious life, ndo hao hao watakukejeli, kukupiga majungu, kukusema, kukucheka, kukukimbia na kukuona mjinga pale ambapo utakuwa umefulia, badala ya kukupa idea mpya ya kujikwamua kwenye hali ulio nayo, sio marafiki wote utakaokutana nao wapo hivi, ila most of them are.
 
"Live a fairytale life and make sure no body knows".
 
Kweli mkuu, my bestfriend. Wengine ni mahusiano ya kawaida tu. Nilipata fundisho, ukiwa na shida furaha kwao ukifanikiwa chuki.
 
Pole sana mkuu, marafiki ndivyo walivyo wanakulia vyako kisha wanakutupa kama bigijii.
 
Back
Top Bottom