Mpenzi wangu kakataa kuja kukaa na mimi

Mpenzi wangu kakataa kuja kukaa na mimi

Kalaudi

Senior Member
Joined
Apr 16, 2017
Posts
112
Reaction score
100
Wakuu vipi mambo,

Nataka ushauri jamani, mpenzi wangu kakataa kuja kukaa na mimi kwa sababu nimehamia karibu na wazazi wangu kukataa kwake hakuna sababu yoyote ile sababu zake hazingii akilini kabisa.

Naombeni ushauri nimfanye nini ili akubali au nipige chini kila mtu zake.

Please bila kashfa wala matusi please.

Thanks
 
Unataka kukaa nae wakati hamna ndoa? Huo ni uzinzi bora amekataa
 
hataki kuwa karibu na wazazi coz kuna baadhi ya wazaz ni vichomi na hapendi kukwalizana nao ndo maana anataka muwe mbal ili kuepuka matatzo mengne

huendi kuna mambo yake binafs hataki yajulikane kwa wazazi na pia huenda anataka uhuru zaid wa kufanya mambo yake bila kuangaliwa na mtu

yote ni majibu lakin inategemea huyo ni mke au mpenzi???
 
mke mkuu
 
Kama hataki kukaa na wewe jua kuna mwenyewe ndio anakaa nae
 
Sawa mke ni mpenzi wako, lakini hapa ulitakiwa useme kuwa "mke wangu" ili uelewe mapema. Naona huyu si mkeo
 
chunguza haya matukio
1.akienda kwenu huwa hali gani ya mwonekano katika kushiriki kaz na majukumu kama ukweni kwake.

2.kwenda kwenu huwa anakukumbusha au mpkk mvutane kwenda au huwa anawazungumzia wazaz wako kama hazungumzi kabsa ujue kuna kitu

3.alishawai kupeleka ata zawad kwenu yoyte

4.wazaz wako huwa wanazunguziaje huyo mkeoo

5.pia chunguza huendi wazaz wako ni vichomi yaan wana sheria nyingi au ni waongeaji sanaa hili nalo ni tatźo

tafakar hayo
 
1- Hua anasaidia

2- Mpaka mimi ndio nimwambie laa sivyo no

3- Once in a year

4- Ki ukweli wazazi wangu wanampenda sana

5-Sio kabisa wala hawana vichomi sio kama nawadifend laa hasha
 
Mmh. Huwa nashangaa sana inamaana umetafuta nyumba pasi kumshirikisha mkeo. Mi najua mkiwa wanandoa yaliyo mengi ni lazima mshirikishane na kila mmoja aridhie sasa nashindwa hata kukushangaa.

Na pia kwani ni lazima ukae karibu na wazazi wako kama hujalipa kodi tafuta sehemu nyingine sababu huyo ni mkeo na ataendelea kuwa mkeo ikiwa jambo halitaki huenda akawa na sababu yake ambayo huenda ikawa na manufaa kwa ndoa yenu kuliko kulazimisha.

Kumpiga na chini sio suluhisho.
 
Nenda kwako/kwake mpe dawa za usingizi. Akisinzia mbebe begani, peleka hadi unapoishi. Akiamka anajikuta by default yupo alipokataa kuja. Game over!!
 
Ni nyumba ambayo inajitegemea yaani kila mtu kivyake
 
Nenda kwako/kwake mpe dawa za usingizi. Akisinzia mbebe begani, peleka hadi unapoishi. Akiamka anajikuta by default yupo alipokataa kuja. Game over!!
NICE ONE HAHAHAHA
 
Machine ikiwa ndani ya papuchi mwambie uone kama atakataa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom