Mbegu ya tunda adhimu (tende)

Mbegu ya tunda adhimu (tende)

Comrade One

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2014
Posts
200
Reaction score
367
Wakuu habari za muda huu!
Pasi na shaka tumeamka salama kabisa..Muda si mrefu nilikuwa napata breakfast...Miongoni mwa vyakula nilivyokuwa nala TENDE zilikuwemo...Lkn baada nikaja kugundua hii mbegu km imefanana na kiungo kilichomo mwilini mwa mwanadamu hv!..Hebu nisaidieni nanyi mwaionaje hii mbegu?



upload_2017-12-6_7-54-0.jpeg
 
Kiungo kipi ambacho wewe unahisi kimefanananacho
 
Mimi nilidhani unaulizia jinsi ya kuiotesha ili tusiagize kutoka Uarabuni.
 
Back
Top Bottom