Mruhusu mkeo awe muimba kwaya kanisani,lakini...........

Mruhusu mkeo awe muimba kwaya kanisani,lakini...........

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,536
Reaction score
139,845
Kwa wanaJF wasio juwa mambo mengi napenda kuwakumbusha kidogo. Nani anaikumbuka kwaya ya AIC Shinyanga?Unajua kilichowakuta waimba kwaya na baadhi ya waimini wengine?

Kama kawaida waimba kwaya wengi ni vijana na damu zinachemka,wakienda kwenye mazoezi au kutumbuiza mambo yanayoendelea huko ni hatari. Wanapomaliza kutumbuiza neno la Mungu wenye imani haba hurudi kutumbuizana wao kwa wao

Wale wanakwaya wa AIC Shy wa miaka ile wanatamba walipukutika kama jani limetiwa kiberiti,waliambukiza magojwa ya zinaa ikiwemo ngoma. Fuatilia stori hii kwa watu wa kule,ndugu zetu hawa walipeana ngoma mmoja baada ya mwingine katika Choir yao

Kwa kweli kwaya ni jambo zuri kwa sababu unamuimbia Bwana aliye Juu,lakini wengi wao wanakuwa mafuska sana

Kwa hiyo unapomruhusu mkeo au memeo kuwa muimba kwaya,muombee sana
 
Yani ni bora Mtu akabaki kuwa muumini wa kawaida kuliko kujidai Kumtumikia Mungu kwa njia ya kuimba halafu Mtu anafanya uasharati !
Ndo maana saingine nguvu Za Mungu hazishiki Watu wakapokea uponyaji n.k
Wengine Wanabaki kuwa wauza sura tu!
Ikumbukwe kuwa Hata Shetani mwasisi alikuwa Kiongozi wa kuimba kwaya ya mbinguni!
 
Ni kweli mkuu. Hata kwenye mikesha ya kuombea sijui kitu gani ni hatari huko. Na kwa wale wasabato wanapoenda kwenye makambi huko ni balaa.

Kiukweli binadamu wa leo ni full ngono.
 
Hii ina ukweli, kuna jamaa mmoja nafahamu yeye na mke wake walikiwa wanakwaya kila siku mazoezini baada ya muda ikangundulika mke wake amejazwa mimba na mshikaji mwengine mwanakwaya mwenzao.
 
Wanakwaya ni hatariii!! Makanisa mengi yanachafuka kwa sababu ya wanakwaya! Wengi wao ni wazinzi na wenye majivunoo!! Ila tusishangae sana maana hata lusifa alikuwa mwanakwaya!
 
Yanii balaa snaa.. Hata wachungajii wanakwayaa ndo mbogaa zao..!! Sis kuna mmoja alikufaa kwa kutoa mimba... Wanakwayaa komeshaa...
 
sio wanakwaya, wengi wanao jifanya kushika dini ni wazinifu, waongo na wasengenyaji wazuri sana.

mbaya zaidi wanatafunana wenyewe kwa wenyewe na kutuona sisi wengine kama mashetani
 
Kwaya za leo zimekuwa kikwazo kikubwa cha kuzishuhudia nguvu za Roho mtakatifu zikishuka wakati wa Ibada ktk makanisa mengi kwa sababu wanakwaya wengi siyo 'wasafi'. Nashauri makanisa turudi kwenye matumizi ya Kitabu cha Tenzi za Rohoni ambapo Kanisa zima linashiriki kuimba. Nyimbo ktk Kitabu kile zina 'upako'.
 
Back
Top Bottom