Tatizo la Kuizoea K ya wife na Suluhisho lake

Jack HD

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
783
1,000
Heshima kwenu wakubwa kwa wadogo!!

Kuna tatizo ambalo mara nyingi sana tumekuwa tukidiscuss sisi mabachelor bila kupata majibu yanayoakisi uhalisia wa tatizo. Labda tuanzie hapa, binafsi sijabahatika kuoa lakini nikiri kuwa nimeshawahi kuwa kwenye mahusiano kwenye vipindi tofauti hapo nyuma.

Labda pia niongezee bila kificho kuwa, binafsi napendelea sana ule mchezo wa kwichi kwichi na mpenzi wangu mpaka wakati mwingine najishtukia kuwa maybe this is too much kwangu na i have to control myself.

Sasa napata uwoga sana linapokuja swala la kuizoea K ya atakayekuwa mke wangu. Swala la kuizoea K ilishawahi nitokea mara moja kwa mdada mmoja huko nyuma, i was dating her but haikuwa kihivyo sana maana wote its like tulishajuana kuwa tunapeana kampani tu. Sasa ilifika kipindi, sipaform kama ilivyokawaida yangu. Hapa naomba nieleweke vzuri. Tunauwezo tofauti linapokuja swala la game, pia tunatofautiana kimaumbile. Nina fahamu hili ni jukwaa la wazi na sio dhumuni langu kufanya matangazo hapa. Ningeweza kutumia maneno marefu kuremba uanaume wangu (hata kama ikiwa ni uongo) lakini sina haja ya kusema yote hayo maana sio dhumuni la uzi huu. Sasa, niseme tu sina ulemavu wa kitendea kazi wala si lelemama linapokuja suala la sita kwa sita. I'm perfectly good na nashkuru kwa hilo.

Sasa, hii hali ya kuizoea K fulani tunaisikia sana kwa watu walio kwenye ndoa. na kama nilivyoeleza hapo juu kuwa ni kweli ilishawahi kunitokea mara moja kwenye maisha yangu nashkuru ilinitokea baada ya mwenzangu kufika mshindo. Binafsi huwa siruhusu kufika mshindo kabla mwenzangu kufika, falsafa hii ndio iliyoniokoa. Tatizo ama changamoto hii ipo kwa kiasi kikubwa na wengine ndio imekuwa chanzo cha kuchepuka kwenye ndoa zao. Nakumbuka rafiki yangu mmoja siku aliweza kuongelea ukubwa wa tatizo hili kwa upande wake na kusema imefika wakati mpaka katikati ya kunako sita kwa sita jogoo anatetema, yaani mkongojo unanywea kabsa na anashindwa kuperform lakini akienda kula vipusa vyake nje huko, kitu mnara 12 o'clock muda wote.

Nikiri kuwa hili ni tatizo kubwa katika maisha yetu ya siku hizi kulingana na desturi na namna tunavyoendesha maisha yetu. Na wengi hasa wanaume tumeshindwa ama tunaogopa kuliweka hili hadharani kupata msaada ama kupata tu mawazo ambayo yatasaidia kukupa uelewa juu ya utatuzi wa changamoto kama hizi. Wale ambao, wanakumbwa na tatizo kama hili na kudhani kuchepuka ndio suluhisho unakaa ndani na mke wako mwezi mzima eti huna hamu ya kumgonga unategemea yeye atabaki hivyo mpaka lini? Is she a robot? Lazima atafute sehemu naye atatuliwe haja zake.

Naamini humu ndani ya jukwaa, kuna wajuzi na makungwi wa mambo ya mahusiano ambao watatusaidia kufahamu chanzo na suluhisho ya matatizo kama haya na ikawa faida kwa sisi tulio nje ya ndoa kuweza kujiandaa vema na hata wale walio ndani ya ndoa waweze kutatua matatizo kama haya. Pia natambua kuwa Ngono si kitu pekee chenye kujenga misingi ya ndoa kufanya vyema lakini ni suala ambalo lazima tuliangalie kwa macho mawili. Nadhani kwa ndoa changa tatizo kama hili ni wachache litakuwa limewakumba ama hakuna kabisa lakini kwa wale walio kwenye ndoa kwa muda mrefu nadhani they have a thing or two to share with us.
Naomba niwakilishe

Ahsanteni
Matusi wala maneno yasiyofaa hayapendezi wala sifagilii
Karibuni kwa mchango
Jack HD
 
madia madia

JF-Expert Member
Sep 30, 2017
719
1,000
Tatizo vijana ambao hamjaoa na ambao hawajaolewa huwa mnadanganyana sana kwenye story zenu. Narudia tena acheni uoga ndoa ni zaidi ya sex. Kama unataka sex unaweza kuipata sehem yoyote wakati wowote lakini ndoa ni kitu chenye thamani sana mbinguni na ardhini. Mi nilidhani utasema baada ya kuwa na mahusiano mengi umeona hamna tofauti bora kuoa. Kuhusu kuizoea K inategemea na wewe mwenyewe na focus yako na saikolojia yako. Mapenzi ya mke huwa ni matam wakati wote na huwa mwili na roho vinarelax sana kwakua huna hofu yoyote kuhusu mahusiano. Kikubwa ni kwamba mapenzi yanatengenezewa mazingira mazuri ya kuelewana kupendana kuoneana Huruma na mengine mengi. Kukiwa kuna karaha ya aina yoyote kati ya wapenzi hicho ni chanzo kikubwa cha kufa kwa mapenzi. Msigombane kwa vitu vidogo vidogo wala msinuniane. Yawekee mapenzi mazingira mazuri ili yadumu na kuwa mapya. Mimi humuona mke ni mpya kila siku. Kama tumeoana Jana. Tunacheza tunataniana wawili au tukiwa na watoto nk. Inatakiwa uishi na mke hadi majirani wasema du hawa nao hawagombani hata siku moja! Ndoa ni tam sana kama wote mnapendana na mnaelewana. Utajuaje kama unayetaka kumuoa anakupenda? .......
 
scorpio me

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
5,746
2,000

Sasa, hii hali ya kuizoea K fulani tunaisikia sana kwa watu walio kwenye ndoa. na kama nilivyoeleza hapo juu kuwa ni kweli ilishawahi kunitokea mara moja kwenye maisha yangu nashkuru ilinitokea baada ya mwenzangu kufika mshindo. Binafsi huwa siruhusu kufika mshindo kabla mwenzangu kufika, falsafa hii ndio iliyoniokoa. Tatizo ama changamoto hii ipo kwa kiasi kikubwa na wengine ndio imekuwa chanzo cha kuchepuka kwenye ndoa zao. Nakumbuka rafiki yangu mmoja siku aliweza kuongelea ukubwa wa tatizo hili kwa upande wake na kusema imefika wakati mpaka katika ya kunako sita kwa sita jogoo anatetema, yaani mkongojo unanywea kabsa na anashindwa kuperform lakini akienda kula vipusa vyake nje huko, kitu mnara 12 o'clock muda wote.

Nikiri kuwa hili ni tatizo kubwa katika maisha yetu ya siku hizi kulingana na desturi na namna tunavyoendesha maisha yetu. Na wengi hasa wanaume tumeshindwa ama tunaogopa kuliweka hili hadharani kupata msaada ama kupata tu mawazo ambayo yatasaidia kukupa uelewa juu ya utatuzi wa changamoto kama hizi. Wale ambao, wanakumbwa na tatizo kama hili na kudhani kuchepuka ndio suluhisho unakaa ndani na mke wako mwezi mzima eti huna hamu ya kumgonga unategemea yeye atabaki hivyo mpaka lini? Is she a robot? Lazima atafute sehemu naye atatuliwe haja zake.

Naamini humu ndani ya jukwaa, kuna wajuzi na makungwi wa mambo ya mahusiano ambao watatusaidia kufahamu chanzo na suluhisho ya matatizo kama haya na ikawa faida kwa sisi tulio nje ya ndoa kuweza kujiandaa vema na hata wale walio ndani ya ndoa waweze kutatua matatizo kama haya. Naomba niwakilishe

Ahsanteni
Matusi wala maneno yasiyofaa hayapendezi wala sifagilii
Karibuni kwa mchango
Jack HD
We sema tu huna nguvu za kiume za kutosha usaidiwe sio unazunguuuka
 
SK2016

JF-Expert Member
Apr 6, 2017
7,974
2,000
Mkuu kama unatokewa na hali hiyo kabla ya kuingia ndoani, amini kuwa usipobadilika utakuja kuwa msaliti mkubwa sana.

Binafsi sijaoa, lakini nimekuwa kwenye mahusiano tofauti, ila hakuna hali naipenda kama kuizoea k na demu ninayempenda zaidi ni yule aliyenipa k hadi kuizoea kuliko anayenipa mara chache.

Pia, ndoa ni zaidi ya k, ndoa ina mambo mengi sana. Ambayo hufanya uzidi kupenda na kuizoea k kwa upendo na hamasa kubwa.

Ngoja tusubirie walioko ndani ya ndoa waje.
 
madia madia

JF-Expert Member
Sep 30, 2017
719
1,000
Hatukatai mkuu, lakini pia utakubaliana na mimi suala la sita kwa sita kama halipo sawa ni wazi litateteresha ndoa yako mzee
Hilo linajengwa na nyie wawili kaka. All women are the same. Mkishajenga mapenzi kati yenu then sita kwa sita itaimarika automatically. Maana mtakua mnadiscuss, mnatafuta new styles pamoja, mnaboresha wenyewe nk. Wengi huacha wake zao kwa sababu hawajui. Kutokujua si dhambi kwani hakuna aliyezaliwa na kujua. Tena ni vizuri umpate ambaye hajui ili mfundishane wenyewe. So kikubwa ni mapenzi kwanza kati yenu na maelewano.
 
Jack HD

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
783
1,000
hizo story za vijiweni mkuu ingia kwenye ndoa uone, unaweza ukapewa hiyo k mara moja kwa mwaka sasa sjui utaizoea vipi
sasa huoni hapo kuna tatzo mkuu. gudume kupewa papuchino mara moja kwa mwaka? hata kama ni ubusy si kihivyo
 
BIGstallion

JF-Expert Member
Sep 13, 2016
6,374
2,000
Hatukatai mkuu, lakini pia utakubaliana na mimi suala la sita kwa sita kama halipo sawa ni wazi litateteresha ndoa yako mzee
Ukiwaza kuhusu pumpuni sana ndoa itakushinda,... Kuna mambo meng sana kweny ndoa usiwaze sana pumpuni, utaichoka utafute kwingine, wakati kumbe kinachokupa faraja ni mkeo,.. Na sio pumpuni yake
 
Nyendeke

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
1,399
2,000
Hayo huwa ni Mawazo ya Kibachelor yani ukiwa hujaoa basi Mawazo ya Ndoa yote yanabebwa na sex, ila kiuhalisia ni kwamba Ndoa ikishakolea kuna wakati hata hiyo Mbunye huwa huiwazi kabisa kutokana na Majukumu na uchovu unaotokana na Mihangaiko ya Kimaisha..,
Pamoja na hayo yapo mengi ya kufanya ili kurudisha hamu zilizopotea ambayo ni topic nyingine, ukiona umeikinahi juwa kuna tatizo zaidi ya hiyo K'..,
 
Jack HD

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
783
1,000
Hilo linajengwa na nyie wawili kaka. All women are the same. Mkishajenga mapenzi kati yenu then sita kwa sita itaimarika automatically. Maana mtakua mnadiscuss, mnatafuta new styles pamoja, mnaboresha wenyewe nk. Wengi huacha wake zao kwa sababu hawajui. Kutokujua si dhambi kwani hakuna aliyezaliwa na kujua. Tena ni vizuri umpate ambaye hajui ili mfundishane wenyewe. So kikubwa ni mapenzi kwanza kati yenu na maelewano.
unayosema ni sawa kabisa lakini yaweza kuwa ni experience ya ndoa changa japo sina hakika na nisamehe kama nitakuwa nakosea lakini kwa ukubwa wa tatizo ninavyolisikia huko nje na majibu rejareja nayoyapata humu ndani. Bado nawaza ukubwa wa tatzo, wenye experience zaidi ndoani waweza funguka zaidi
 
Jack HD

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
783
1,000
Hayo huwa ni Mawazo ya Kibachelor yani ukiwa hujaoa basi Mawazo ya Ndoa yote yanabebwa na sex, ila kiuhalisia ni kwamba Ndoa ikishakolea kuna wakati hata hiyo Mbunye huwa huiwazi kabisa kutokana na Majukumu na uchovu unaotokana na Mihangaiko ya Kimaisha..,
Pamoja na hayo yapo mengi ya kufanya ili kurudisha hamu zilizopotea ambayo ni topic nyingine, ukiona umeikinahi juwa kuna tatizo zaidi ya hiyo K'..,
watu wa pwani utawajua tu. hahahaaaaa sawa nimekupata nyendeke
 
makuzi jambo

Member
Nov 8, 2017
75
125
Tatizo vijana ambao hamjaoa na ambao hawajaolewa huwa mnadanganyana sana kwenye story zenu. Narudia tena acheni uoga ndoa ni zaidi ya sex. Kama unataka sex unaweza kuipata sehem yoyote wakati wowote lakini ndoa ni kitu chenye thamani sana mbinguni na ardhini. Mi nilidhani utasema baada ya kuwa na mahusiano mengi umeona hamna tofauti bora kuoa. Kuhusu kuizoea K inategemea na wewe mwenyewe na focus yako na saikolojia yako. Mapenzi ya mke huwa ni matam wakati wote na huwa mwili na roho vinarelax sana kwakua huna hofu yoyote kuhusu mahusiano. Kikubwa ni kwamba mapenzi yanatengenezewa mazingira mazuri ya kuelewana kupendana kuoneana Huruma na mengine mengi. Kukiwa kuna karaha ya aina yoyote kati ya wapenzi hicho ni chanzo kikubwa cha kufa kwa mapenzi. Msigombane kwa vitu vidogo vidogo wala msinuniane. Yawekee mapenzi mazingira mazuri ili yadumu na kuwa mapya. Mimi humuona mke ni mpya kila siku. Kama tumeoana Jana. Tunacheza tunataniana wawili au tukiwa na watoto nk. Inatakiwa uishi na mke hadi majirani wasema du hawa nao hawagombani hata siku moja! Ndoa ni tam sana kama wote mnapendana na mnaelewana. Utajuaje kama unayetaka kumuoa anakupenda? .......
Mkuu unatumiaa kinywaji ganii ..nimesomaa hapaa nilikuwa nimemnuniaa mkee wanguu daaaa nilivyomalizaa kusomaa hapaa imebidi nimvute kwa karibu nakumpigaa busu muruwaa mpk kashangaaaaa.ndoaa tamu jmn ukimpataa akupendae nawe ukampendaaa ..hata km mna njaa mtahisi mnashibee wotee
 
Wick

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
8,336
2,000
Kitu pekee kinachoniogopesha kuoa ni kuvumilia kelele na karaha za ndani ila sio kuzoea kupiga paipu!..
 
Jack HD

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
783
1,000
Kitu pekee kinachoniogopesha kuoa ni kuvumilia kelele na karaha za ndani ila sio kuzoea kupiga paipu!..
Ukisema kuzoea kupiga paipu mzee ni kama unaninyanyasa mzee, hebu weka kiswahili vzur hapo
 
MulRZGM

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
1,002
2,000
Heshima kwenu wakubwa kwa wadogo!!

Kuna tatizo ambalo mara nyingi sana tumekuwa tukidiscuss sisi mabachelor bila kupata majibu yanayoakisi uhalisia wa tatizo. Labda tuanzie hapa, binafsi sijabahatika kuoa lakini nikiri kuwa nimeshawahi kuwa kwenye mahusiano kwenye vipindi tofauti hapo nyuma.

Labda pia niongezee bila kificho kuwa, binafsi napendelea sana ule mchezo wa kwichi kwichi na mpenzi wangu mpaka wakati mwingine najishtukia kuwa maybe this is too much kwangu na i have to control myself.

Sasa napata uwoga sana linapokuja swala la kuizoea K ya atakayekuwa mke wangu. Swala la kuizoea K ilishawahi nitokea mara moja kwa mdada mmoja huko nyuma, i was dating her but haikuwa kihivyo sana maana wote its like tulishajuana kuwa tunapeana kampani tu. Sasa ilifika kipindi, sipaform kama ilivyokawaida yangu. Hapa naomba nieleweke vzuri. Tunauwezo tofauti linapokuja swala la game, pia tunatofautiana kimaumbile. Nina fahamu hili ni jukwaa la wazi na sio dhumuni langu kufanya matangazo hapa. Ningeweza kutumia maneno marefu kuremba uanaume wangu (hata kama ikiwa ni uongo) lakini sina haja ya kusema yote hayo maana sio dhumuni la uzi huu. Sasa, niseme tu sina ulemavu wa kitendea kazi wala si lelemama linapokuja suala la sita kwa sita. I'm perfectly good na nashkuru kwa hilo.

Sasa, hii hali ya kuizoea K fulani tunaisikia sana kwa watu walio kwenye ndoa. na kama nilivyoeleza hapo juu kuwa ni kweli ilishawahi kunitokea mara moja kwenye maisha yangu nashkuru ilinitokea baada ya mwenzangu kufika mshindo. Binafsi huwa siruhusu kufika mshindo kabla mwenzangu kufika, falsafa hii ndio iliyoniokoa. Tatizo ama changamoto hii ipo kwa kiasi kikubwa na wengine ndio imekuwa chanzo cha kuchepuka kwenye ndoa zao. Nakumbuka rafiki yangu mmoja siku aliweza kuongelea ukubwa wa tatizo hili kwa upande wake na kusema imefika wakati mpaka katikati ya kunako sita kwa sita jogoo anatetema, yaani mkongojo unanywea kabsa na anashindwa kuperform lakini akienda kula vipusa vyake nje huko, kitu mnara 12 o'clock muda wote.

Nikiri kuwa hili ni tatizo kubwa katika maisha yetu ya siku hizi kulingana na desturi na namna tunavyoendesha maisha yetu. Na wengi hasa wanaume tumeshindwa ama tunaogopa kuliweka hili hadharani kupata msaada ama kupata tu mawazo ambayo yatasaidia kukupa uelewa juu ya utatuzi wa changamoto kama hizi. Wale ambao, wanakumbwa na tatizo kama hili na kudhani kuchepuka ndio suluhisho unakaa ndani na mke wako mwezi mzima eti huna hamu ya kumgonga unategemea yeye atabaki hivyo mpaka lini? Is she a robot? Lazima atafute sehemu naye atatuliwe haja zake.

Naamini humu ndani ya jukwaa, kuna wajuzi na makungwi wa mambo ya mahusiano ambao watatusaidia kufahamu chanzo na suluhisho ya matatizo kama haya na ikawa faida kwa sisi tulio nje ya ndoa kuweza kujiandaa vema na hata wale walio ndani ya ndoa waweze kutatua matatizo kama haya. Pia natambua kuwa Ngono si kitu pekee chenye kujenga misingi ya ndoa kufanya vyema lakini ni suala ambalo lazima tuliangalie kwa macho mawili. Nadhani kwa ndoa changa tatizo kama hili ni wachache litakuwa limewakumba ama hakuna kabisa lakini kwa wale walio kwenye ndoa kwa muda mrefu nadhani they have a thing or two to share with us.
Naomba niwakilishe

Ahsanteni
Matusi wala maneno yasiyofaa hayapendezi wala sifagilii
Karibuni kwa mchango
Jack HD
Nice idea... Tho ktk hali ya kawaida mkuu ata kabla ya ndoani, kuzoea K mbna io hali ipo tu asee... Mana mapenz cku zte ni pale unapokua n hisia za kwel kwa gf wako the same 2 yy n kisha mkawa mnapendana kwa dhat haswa... ikawa co tena maisha ya wawil bali maisha ya m1/mmeunganikana kivyenu yani... Upo mkuu?

Yan daily utamuona mpya mwenzako the same 2 yy pia...

Tatzo la cc vjana wa leo hatupend kujukumika ata kdg, 2napenda sana kuteremka tuuu bs... Na 2nachofkr kujukumika ni ad uwe n fedha... No, ktk mapenz fedha ni matokeo tu, hauna then kuwa muwaz kwa mwenzio, then endelea n mengine tu il kumfanya ajione wa thaman kwako... Co kidume unajikuta unajawa n mistress ya ajab ajab ya kujitakia... utamzoea mwenzako kwel?

Mbali n hisia za kwel za ndan kat yenu ktk love affair... UTU, HAKI, KUTHAMINI na HESHIMA ni dhana n nyenzo muhimu sana ktk kusustain mapenz baina yenu!

Mawazo yangu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom