Habari zenu wana Jamii..!
Kama tittle ya post inavyo jieleza hapo juu..
Mm nikijana wa Miaka 32
Natafuta msichana ambaye yuko serious kuanzisha maisha, ambaye amemaliza ujana na anaamini katika Maisha ya kifamilia, asiwe anayetaka ku-date.. Nataka Committed one.
Sifa Za Msichana ni Mtakaye:
Umri kwanzia 24-27
Dini.: Awe mkristo haijalishi dhehebu
Awe na urefu wa wastani
Awe mwenye Rangi ya maji ya Kunde au uweupe kwa mabali,
Awe ana kazi au shughuli yoyote halali inayo muingizia kipato.
Awe na nidhamu.
Sifa Zangu ilivyo mimi:
Urefu: 171cm
Rangi: Maji yakunde
Elimu: Bachelor
Ajira : Mfanya Biashara
Naishi Dar, Ingawa natarajia Safari za Rwanda na Uganda but Makazi ni Dar.
Kama unadhani unasifa hizo za msichana nimtakaye ni DM kwa mawasiliano zaidi.
NB. Heshima na Hofu ya Mungu nimuhimu kuliko vyote.