Mpenz wangu wanataka kuniolea

Mpenz wangu wanataka kuniolea

rasheid

Member
Joined
Nov 7, 2017
Posts
12
Reaction score
4
Habari zenu wandugu,

Nilikuwa na mpenzi wangu tuliependana sana wakati tunafanya kaz katika ofisi moja, kwakuwa mapenzi hayana kificho yakajulikana kutokana na kuingiza mapenzi muda wa kazi ikabidi mmoja wetu ahamishiwe kituo kingine cha kazi

Yule mchumbaangu wakamuhamisha tukawa mbalimbali, umbali ule ukaanza kuwa tatizo katika mahusiano yetu akaanza kupoteza imani nami kwa kuwasikiliza watu na kunishutumu mambo yasio na ukweli kila siku linazaliwa jipya, nikajitahidi kukaa nae chin kumuweka sawa ila anabadilka siku 2 then anarudia tena makosa yaleyale tulienda hivyo mpka siku niliposhikwa na hasira na kumwambia mm na yy basi, ila nilizungumza vile nikiwa na hasira tu kwa kunishutumu kila siku kwa mambo yasio ya kweli lakini kiukweli bado nampenda sana,nilifanya vile nikitegemea atambue makosa yake na ajirekebishe.

Wakati tupo kwenye tatzo lile mimi nikapata uhamisho nje ya mkoa na kuelekea dar nikaondoka bla kumuaga na miezi miwili mbele kumtafta akanambia kapata mchumba na ashatolewa barua na yeye hakujua kama mimi ntakuwa na mpango nae tena baada ya kuju nimeondoka bila kumuaga,ila nampenda sana mpenzi wangu najitahidi kumbembeleza anielewa.

Naombeni msaada wa mawazo ndugu zanguni nifanyaje na bado nampenda mpenzi wangu?
 
Aisee piga moyo konde songa mbele utapata anayekupenda zaidi
 
Ukiona cha nini,wenzio wanawaza watakipata lini

Ushauri wangu. Piga moyo konde saka mwingine. Mwache jaa akamilishe ndoa yake don't be the reason they end up single
 
Kamuwekee software ya mobile tracker anayetaka kumuoa ili uone wenzako wanavyo mbembeleza mwanamke ili wawe naye na siyo kama hizo porojo zako za kugombana kila siku.
 
Hayo mapenzi yako hatari. Umemuacha na kumpotezea kwa miezi 2. Muache aolewe tu, we tafuta mpenz mwingine wakati wenzako wanatafuta wanawake wa kuoa.
 
Ukisusa wenzio wanat**ba. Uache tabia ya kususa susa. Pole.

Habari zenu wandugu,

Nilikuwa na mpenzi wangu tuliependana sana wakati tunafanya kaz katika ofisi moja, kwakuwa mapenzi hayana kificho yakajulikana kutokana na kuingiza mapenzi muda wa kazi ikabidi mmoja wetu ahamishiwe kituo kingine cha kazi

Yule mchumbaangu wakamuhamisha tukawa mbalimbali, umbali ule ukaanza kuwa tatizo katika mahusiano yetu akaanza kupoteza imani nami kwa kuwasikiliza watu na kunishutumu mambo yasio na ukweli kila siku linazaliwa jipya, nikajitahidi kukaa nae chin kumuweka sawa ila anabadilka siku 2 then anarudia tena makosa yaleyale tulienda hivyo mpka siku niliposhikwa na hasira na kumwambia mm na yy basi, ila nilizungumza vile nikiwa na hasira tu kwa kunishutumu kila siku kwa mambo yasio ya kweli lakini kiukweli bado nampenda sana,nilifanya vile nikitegemea atambue makosa yake na ajirekebishe.

Wakati tupo kwenye tatzo lile mimi nikapata uhamisho nje ya mkoa na kuelekea dar nikaondoka bla kumuaga na miezi miwili mbele kumtafta akanambia kapata mchumba na ashatolewa barua na yeye hakujua kama mimi ntakuwa na mpango nae tena baada ya kuju nimeondoka bila kumuaga,ila nampenda sana mpenzi wangu najitahidi kumbembeleza anielewa.

Naombeni msaada wa mawazo ndugu zanguni nifanyaje na bado nampenda mpenzi wangu?
 
Duh,hasira kweli hasara ila kama vipi Mwache mwenzio akapumzike wewe endelea kupuyanga utampata mpuyangaji mwezio mtalisongesha...
 
Habari zenu wandugu,

Nilikuwa na mpenzi wangu tuliependana sana wakati tunafanya kaz katika ofisi moja, kwakuwa mapenzi hayana kificho yakajulikana kutokana na kuingiza mapenzi muda wa kazi ikabidi mmoja wetu ahamishiwe kituo kingine cha kazi

Yule mchumbaangu wakamuhamisha tukawa mbalimbali, umbali ule ukaanza kuwa tatizo katika mahusiano yetu akaanza kupoteza imani nami kwa kuwasikiliza watu na kunishutumu mambo yasio na ukweli kila siku linazaliwa jipya, nikajitahidi kukaa nae chin kumuweka sawa ila anabadilka siku 2 then anarudia tena makosa yaleyale tulienda hivyo mpka siku niliposhikwa na hasira na kumwambia mm na yy basi, ila nilizungumza vile nikiwa na hasira tu kwa kunishutumu kila siku kwa mambo yasio ya kweli lakini kiukweli bado nampenda sana,nilifanya vile nikitegemea atambue makosa yake na ajirekebishe.

Wakati tupo kwenye tatzo lile mimi nikapata uhamisho nje ya mkoa na kuelekea dar nikaondoka bla kumuaga na miezi miwili mbele kumtafta akanambia kapata mchumba na ashatolewa barua na yeye hakujua kama mimi ntakuwa na mpango nae tena baada ya kuju nimeondoka bila kumuaga,ila nampenda sana mpenzi wangu najitahidi kumbembeleza anielewa.

Naombeni msaada wa mawazo ndugu zanguni nifanyaje na bado nampenda mpenzi wangu?
Ulimchelewesha so sio wako tena. Ngoja akiachika au wakiachana atakuja mwenyewe kama bado utakua bachelor.
 
Inawezekana wewe unampenda, lakini yeye hakupendi...

Kama hadi barua ya uchumba yapelekwa kwao naye hakukushtua hadi wewe ulipoamua tu kumtafuta, ni wazi kuwa ulishaondoka moyoni kwake...

Shika hamsini zako kijana ushaachwa solemba...
 
Back
Top Bottom