Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu, Tokea mwezi Desemba mwaka baada ya mambo kuniendea kombo kimapato niliamua kurudisha chumba nilichokuwa naishi na kuamua kwenda kuishi kwa rafiki yangu ili nijipange kwanza sasa kuna...
2 Reactions
92 Replies
9K Views
Ni mwaka sasa toka tuungane na kupata mtoto, mke wangu amebadilika sana amekua mjeuri, mkali wa mtumishi wa ndani.Naoma hadi mapenzi yangu kwake yanazidi kuporomoka, Napenda kuomba ushauri...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Napenda kutoa mrejesho kama ifuatavyo... Walijitokeza wasichana karibia wanne kule PM, nilifanikiwa kuonana na mmoja infact ni mwanafunzi ila hakuwa serious kabisa within two days alishaonesha...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimekuwa na hili tatizo kwa muda mrefu sana. Napoona mwanamke amevaa uniform kama askari au mwanajeshi. Najisikia hamu sana ya kumvua hiyo uniform. Tatizo hili ninalo pia napoona manesi na...
5 Reactions
52 Replies
7K Views
Sijui kwanini hii hali ipo kwangu, mimi wanawake wanene na wenye hayo wanaita sijui mavyura sina mzuka nao kabisa. Mfano 2015 kuna mtoto nilionana naye alikuwa na mwili wa kawaida kabisa, sasa...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Mwenye kabahati aingize hii hapa kisha atoe mrejesho 8656 6622 0197 248
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habari za muda,..naomba tuchangie hapa kuhusu suala la sisi wanaume kukaa ukweni ... Mie binafsi naona hata ile kukaa siku nzima na kulala siwezi kabisa kwanza naanzaje ? mana raha...
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Ni kitu gani mschana unawaza pale mwanaume: 1. anapokusalimia 2. Anapokuongelesha 3. Anapokuangalia Lakini pia huwa inaashiria nini mwanamke/mschana ambaye mnajuana tu au ni marafiki tu wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za jioni wana jukwaa hili pendwa narudia tena kuwa natafuta mchumba wa kike umri kuanzia miaka 18 mpaka 25 ... Asiwe mnene sana na mwembambamba sana Awe wa kawaidaa na asiwe wa...
0 Reactions
1 Replies
758 Views
Ahsanteni kwa maswali yenu na michango yenu . Nishampata niliemuona anafaa. Nitawaletea mrejesho mwingine mbele ya safari.
9 Reactions
115 Replies
8K Views
Wanajanvi naomba msaada wa mawazo yenu, Lipi sahihi kwa mume na mke kuunganisha vitega uchumi baada ya ndoa au kila MTU kubaki na vitega uchumi vyake na kushilikishana kimawazo na kusaidiana...
1 Reactions
2 Replies
814 Views
Hamjambo humu Kwa dada aliye free kuanzisha mahusiano let see if tunaweza kuwa Uwe Dar most preferred, umri 25 na kuendelea.. elimu form Four au zaidi na uwe tayari kupima HIV Nawasilisha na karibuni
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nina mpenzi wangu anajifanya ananipenda sana na anawivu sana. Pia ana jifanya kuwa anampenzi mmoja tu ambaye ni mimi, cha ajabu juzijuzi nime badilisha namba nimemtext amejibu ananiuliza nani...
4 Reactions
83 Replies
8K Views
Usiiulize akili yako UMPENDE NANI? Bali usikilize MOYO WAKO UNAMPENDA NANI Maana akili itakuchanganya Lakini MOYO unajuwa haja yake
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Masister duuu zangu aisee mimi nimetoka manyara mererani nimeuza vyangu nimepata pesa ila sina demu wa kula nae maisha kwa iyo kama kuna msichana yuko tayar kula vyangu nami nile vyake aje pm...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
wanaume embu mbadilike jamani. Ivi mchepuko wako mpaka anapata mimba na wewe unamsaport ya kwamba zaa tu mtoto ntamlea. Na baada ya mtoto kuzaliwa, unaanza kumzungusha kuhusu matunzo ya mtoto...
8 Reactions
72 Replies
6K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, Kabla sijachukua uamuzi naomba mnipe ushauri kwanza ndo nitoe maamuzi yangu. Jinsi talaka ya kwanza ilivyopita: Nilimuachia akaunti yangu na...
6 Reactions
70 Replies
8K Views
Nitauvunja vunja moyo wake soon Ikiwa zimebaki siku 7 ili mimi na mama mtoto wangu tubariki ndoa yetu, nimekuja na mrejesho rasmi wa hali iliyokuwa inanitatiza. Issue imeshakuwa resolved, nitaoa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi karibuni kumeibuka wimbi kubwa la mafunzo ya ndoa kweye mitandao na namna ya kumridhisha mwanaume kimapenzi lakini cha ajabu ndoa nyingi zimezidi kuvunjika, ndipo nikagundua kuwa kubiringika...
15 Reactions
43 Replies
8K Views
Nimegundua kwamba wanawake wengi kuanzia mitaani hadi mwenye social media huchangia kwa kiasi kikubwa kukatisha mori ya mwanaume pindi wanapoanza kuchat, Ingawa hawatambuani(ni strangers) lakini...
6 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom