Nisaidieni kuchagua jina la mtoto

Nisaidieni kuchagua jina la mtoto

Under30

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2017
Posts
218
Reaction score
656
Nina majina matatu mkononi,sijui lipi nimuite kijacho wangu....wa kiume
Najua sauti ya wengi ni ya Mungu
1.Cairo
2.Liam
3.Ethan
Lipi nichague
 
jina linatokana na sababu kubwa 3

Ya kwanza ni "Ma/Tukio"
Ya pili ni urithi
Ya tatu hugusa na hizo mbili ambayo ni utashi;
hapa tutakupa moja ila hatujui hayo matatu umeyapendekeza kwa nini, wala hatujui mazingira ya kijacho wako, ila nashauri umwite jina la kiswahili lenye maana inayoeleweka, hasa inayofanana na mazingira yake au ya baba au ya mama
 
hamnaa tukio lolote wala mazingira,hayo yana maana nzuri tu
Majina ya kiswahili ndo yapi
i like this name
 
Back
Top Bottom