Habari za usiku wakuu,
Nimeona nilete story hii kwenu ili wazoefu wa mambo wanisaidie kunishauri miezi kadhaa iliyopita nilifahamiana na wadada wawili mapacha ambao wanafanya kazi kwenye taasisi moja ya fedha hapa mjini ambayo ipo karibu na ofisini kwetu, mara nyingi nilikuwa nikikutana nao kwenye msosi wa mchana kwenye mgahawa uliopo karibu na ofisi zetu.
Baada ya kuwaona kwa mara nyingi nilitokea kuvutiwa na mmoja wao kwa kuwa walikuwa wanafanana sana ikanipa wakati mgumu kuwatofautisha, mara nyingi nilikuwa nawatofautisha kwa staili ya nywele tu ndo ambazo nilikuwa naona wanasuka tofauti basi nikaanza kuomba namba za mmoja wao lakini walikuwa wanapozi balaa lakini sijakata tamaa nilikomaa sana bila mafanikio hatimaye nikaamua kijipa likizo.
Baada ya kuwapotezea kama mwezi nikaanza kumuona mmoja pale mgahawani ambae sio yule niliyekuwa namfuata basi nikajisemea mwenyewe kwa kuwa mapacha basi utamu utakuwa uleule nikaamua nianze kutupa ndoano upande ule kwa bahati nzuri nikafanikiwa nikaazisha mahusiano ambayo yalikuwa matamu sana nilipofutilia nikagundua yule niliyekuwa nae ndo kurwa doto aliamishiwa Mwanza kikazi.
Sasa juz inikiwa home nilipokea wageni yule girlfriend wangu alikuja na pacha wake ambae yuko mjini amekuja likizo basi nikampa heshima zote kama shemeji wakaondoka.
Leo nikiwa job nikapokea SMS kwa fb nilipofuatilia nikagundua ni shemeji basi tukaanza kuchat na baadae akaniomba nikitoka kazini nipitie mjini atakuwa ananisubiri kweli mzee nilipotoka job nikapita pale tukaanza kupiga story nyingi na akanikumbushia alivyokuwa ananichomolea na ajabu alitumia muda mwingi kunieleza udhaifu wa pacha wake japo mimi nilikuwa namtetea sana mpenzi wangu, mwisho akaomba tuchukue tax nimsindikize kwao.
Tukiwa tumekaa siti ya nyuma daah full mitego nikajua labda mambo ya kizungu haya sikujali tulipokaribia kwao akaniambia niishie hapo pacha wake asije akatuona nikapigwa busu moja matata sana mdomoni aisee lile hata kwa mwenzie sijawahi pata na akaniambia kesho kutwa nikitoka job atakuja home.
Kiukweli nimefika home hapa lakini bado lile kiss linajirudia najiuliza hivi shemeji ndo anataka kunizawadia tunda kama zawadi ya Christ mass au ni uzungu tu na kingine najiuliza kama wanafanana kila kitu si hata ladha na utamu utakuwa uleule, vipi mpenzi wangu akijua itakuaje au ndo mambo ya kutema BG kwa karanga za kuonjeshwa au nitafune wote ili nione utamu wa mapacha kama unafanana.Mpaka mida hii mpenzi wang kanipigia hajaonyesha kama amegundua nilishinda na shemeji leo mjini.
Msaada tafadhali kwa wazoefu wa mapacha