wamkodowenye
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 261
- 290
Kwa mwenye uelewa mdogo atasema ni stori ya kutunga na kwenye uelewa na yaliyokwisha mkuta ataelewa nini namaanisha na kunishauri.
Na mke wangu nampenda kwa dhati sana na tunaheshimiana sana Mimi ni mfanyabiashara yeye ni mwajiriwa kiukweli kaumbika sana na huwa nafaidi mapenzi yake moto moto.
Kuna mdogo wangu yupo chuo na hupenda kuja kunitembelea na namwamini kama ndugu yangu na huwa akija hukaa hata wiki sasa juzi nimepata safari ya ghafla nikajiandaa na kuondoka na kumwacha mdogo wangu na shemeji yake kwa kuwa ilikua jioni na ile simu ilinichanganya maana kuna mzigo uliingia nikaona niuwahi nilipoondoka nikiwa njiani nikakumbuka nimesahau ATM na Documents fulani nikarudi haraka nilipokaribia mlangoni nilisika sauti za miguno ya ajabu ya mahaba nikatamani kujua nini kupenyeza jicho kwenye kitundu cha ufunguo hamadi nusu nidondoke kwa BP maana niliona kwanza KY ikiwa mezani huku wife akilia kwa mahaba na kusema shem weka yote.
Niliumia sana maana ile style tuu niliona anafanyiwa mchezo mchafu ambao ni sodoma niliishiwa nguvu sikugonga nikarudi zangu Bar na kunywa sana pombe.
Nampenda wife pia sijamwambia chochote nawaza nichukue hatua gani kati ya wife na Dogo wakati huyu mdogo wangu Mimi ndiyo nayemsomesha na kumsaidia?
Je nifanyeje jamani?