Mwanamke uliyeolewa ni lazima usiku uwe na sifa za ukahaba kwa mumeo ili udumu

Chifyono

JF-Expert Member
Oct 16, 2017
924
1,000
Wanabodi

Hii ni ratiba inayotakiwa kufuatwa na wake zetu kwa siku na kila siku.

Asubuhi mkiamka tu hapo mwanamke anatakiwa awe kama Mama mzazi wa mume wake.

Mchana, mwanamke unatakiwa uwe dada wa mume wako ndani ya nyumba

Kubwa zaidi, ikifika usiku hapa lazima mwanamke uwe na sifa zote za kahaba, yale mambo yote wanayoyafanya makahaba ni lazima uyafanye kwa mumeo
Ukizingatia ratiba hii hasa ya usiku sie wanaume mtakuwa mmetuweza, tutadumu ndoani
 

Attachments

  • File size
    906.5 KB
    Views
    31

mangelengele

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
1,295
2,000
Anazijua sifa za kahaba au anaongea kutafuta umaarufu? Akikwambia amuingilie kinyume na maumbile atasemaje, au kila baada ya ngono adai malipo. Makahaba wanakutana na mambo mazito ambayo huwez mfanyia mke. Kinachotakiwa mke ajue mapenzi, km anataka awe km kahaba basi amtafute kahaba mmoja ampe mkewe anfundishie af atajua ukahaba ni nini.
 

uwepo

JF-Expert Member
Jun 17, 2014
599
1,000
Yani ukienda ukweni kupeleka mali ukweni alafu umevaa kipensi kama kile cha alikiba huwa unawaza ifike usiku ukachome mshikaki kwa mtoto wa watu
 

Nalendwa

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
7,505
2,000
Duh!, 'Ratiba inayotakiwa kufuatwa'
Mbona tuna kazi!

Mnaonaje kufanya hivyo kwa sisi wanawake pia, kwa wake zenu ili kurudisha fadhila?
Asubuhi kama hivyo, mchana kama hivyo.
Jioni ndo usiseme, unageuka kuwa bonge la Playboy mwema mmoja hivi unamfukuzia mkeo na kujitoa ufahamu ndani ya bukta mpaka asahau kuwa wewe ni mumewe.

'2 way street a song by slick rick'
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom