Jingle za christmass & new year zinanirudishia maumivu niliyoyapata mwishoni mwa mwaka jana

kanali mstaafu

JF-Expert Member
May 17, 2015
4,334
2,000
Mwaka jana mwez wa 12 mara baada tu ya mahafal yangu, nilianza kuona mabadiliko hasi kwa mpenz wangu ambayo yalianza kutishia uhai wa mahusiano yangu ambayo kwa hakika niliwekeza akili,mwili,future,rasilimali na muda wangu ktk kuyajenga. Mpenz wangu taratib alianza kubadilika japo kwa taratib sana ila nikastukia kwa sababu nilimzoea na kumjua kuanzia utosi hadi ukucha.
Baada ya kuona hayo nikajipanga kumfuata huko morogoro kwa nia ya kukaa nae karibu na kudadisi kiini cha jinamizi aliyenyemelea mahusiano yangu.mwitikio wake juu ya kumfata pia ulinitia shaka kwa sabab hakuonyesha shauku kama ilivyokuwa mwanzo. Cku moja kabla ya christmass nilienda tukawa wote na alinipa tunda vizur kwa siku ya kwanza na ya pili kisha siku 3 zilizofuata akabana kwa kuanzisha maada ya kwamba tusitishe mpka tuoane.katika hicho kipind chote tulijifungia hostel kwa sabab aligoma kwenda lodge kwani chuo kilifungwa na wanafunz wengi hawakuwepo.kwa siku tano tulijifungia tukiskiliza jingles xmass & new year na nyimbo za kikatoliki zenye jumbe za christmass. Pamoja na kubaniwa tunda cku tatu mfululizo lkn nilifurah sana kipind kile kwa kukaa nae kwani nilimpenda sana.mara baada tu ya kuondoka akaanza kubadilka tena. Ndani ya week moja alibadilka kwa kias kikubwa na hapo ndipo moyo ukaanza kuniuma na maradhi yakaanzia hapo.
.alinikatia cm
.aliongea kwa ukali
.alikuwa hana muda na mm
.kauli za kejeli na dharau ndiyo ikawa mvua iliyoninyeshea kila siku
Ucku wa mwaka mpya nilimpigia cm na kumbembeleza akakiri na kusema tuache ya mwaka jana tuanze upya. Kesho yake hali iliendelea vile na mpka aliporud chuo ndipo akazidi.alikuwa ananiaga kwny cm kuwa anaenda kudiscuss lkn nikimtxt na kumcall hajib mpka kesho yake. Nilimdodosa rafk yake ambaye alifunguka mambo mengi kuhusu kuchelewa kwake kurud, kuongozana na wanaume tofauti na mambo mengine mabaya ambayo yalinifnya nifunge safari kumfata chuo na kwa hakika niliyaona na mengine niliyashuhudia yakiumiza moyo, nilipomnyang'anya cm kuona undani wa hayo yote aligeuka mbogo na kunifokea akidai mapenz hayalamishwi. Niliona chat za rafk zake akiwaambia anataka aniache na alichat na boyz wengi akiwatembelea hostel huku kuna jemba ambayo ilichukua akili yake huku akiipelekea chakula na treatment nying za kinyamwez.
Akili ilipoteza uwezo wake, nikawa wa kuzurura viunga vya chuo na nguo zangu ambazo zilichakuka kwan ckwenda na nguo za kubadili,pesa niliishiwa na nilipopata kdogo nile niliishia kulia kwani Cafeteria nilipoenda kula ndipo mahali ambapo tulikula nae kipind cha nyuma.
Kauli yenye nguvu iliyotawala akili yangu ni "tumeumbwa tuishi na mwisho tufe kwa heri au kwa shari tupishe vizazi vijavyo, huu ni muda mwafaka wa kumpisha mpnz wangu aponde raha na nimwonyeshe kuwa nilimpenda, sioni umuhimu wa kuishi kwa karaha kheri bora nife nipumzike"
Nilijikuta katika mikono ya vijana nisiowafahamu ambao walikuwa wanasoma SUA (mungu awabariki sana).walinijenga na kukaa na mm huku wakitumia pesa zao kunihudumia. Hata waliponileta msamvu kupanda gari wakaniacha niliangua kilio hadharan nikageuka sinema pale stend...huo ndio ukawa mwanzo wa kuumia nikaambulia vidonda vya tumbo, kugombana na ndugu yangu wa damu, kuishi maisha magumu yaliyojaa hasira, roho ya kisasi,msongo wa mawazo na hisia za kujiona nadharaulika sina thamani.
Kipind hiki nikiskia jingle za xmass & new year nakumbka muda wa mwisho niliofurahi na mpnz wangu kisha akaniacha....naumia sana natamanu nisiziskie....
 
lynch

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
238
250
Mamumiv yapo,hata kama ulimpenda vipi ndo hakukupenda tenha,don't expect Love in returns.Sizani kama kuna mwanaume ambaye hajawah nyooshwa na mapenzi.Cha muhim ukubaliane tu na ukwel na haitataka ijirudie tenha.wachie wenzako washerekewasherekee jingle za x-mass bhn
 
Charles Dotter

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
2,204
2,000
kumbe baada ya kustaafu jeshini ulienda kusoma.....
Pole mkuu, maisha yana mitihaniyake.chamsingi upo mzima pambana mungu atakujaalia. huwezi jua mungu kakuepusha na nini huko mbele.
 
flood

Senior Member
Jul 10, 2017
118
250
Mwenzako chuo aliuza laptop akamsaidia Bnt baada ya kuumwa sana baadae Bnt akamlipa kwa kubeba mimba na mtu department hiyo hiyo.
NB msichana akizingua mwanzo jua huyo sio wako usiamini kuwa kuna kujifunza kupenda mbeleni.
 
uttoh2002

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
5,554
2,000
Mwaka jana mwez wa 12 mara baada tu ya mahafal yangu, nilianza kuona mabadiliko hasi kwa mpenz wangu ambayo yalianza kutishia uhai wa mahusiano yangu ambayo kwa hakika niliwekeza akili,mwili,future,rasilimali na muda wangu ktk kuyajenga. Mpenz wangu taratib alianza kubadilika japo kwa taratib sana ila nikastukia kwa sababu nilimzoea na kumjua kuanzia utosi hadi ukucha.
Baada ya kuona hayo nikajipanga kumfuata huko morogoro kwa nia ya kukaa nae karibu na kudadisi kiini cha jinamizi aliyenyemelea mahusiano yangu.mwitikio wake juu ya kumfata pia ulinitia shaka kwa sabab hakuonyesha shauku kama ilivyokuwa mwanzo. Cku moja kabla ya christmass nilienda tukawa wote na alinipa tunda vizur kwa siku ya kwanza na ya pili kisha siku 3 zilizofuata akabana kwa kuanzisha maada ya kwamba tusitishe mpka tuoane.katika hicho kipind chote tulijifungia hostel kwa sabab aligoma kwenda lodge kwani chuo kilifungwa na wanafunz wengi hawakuwepo.kwa siku tano tulijifungia tukiskiliza jingles xmass & new year na nyimbo za kikatoliki zenye jumbe za christmass. Pamoja na kubaniwa tunda cku tatu mfululizo lkn nilifurah sana kipind kile kwa kukaa nae kwani nilimpenda sana.mara baada tu ya kuondoka akaanza kubadilka tena. Ndani ya week moja alibadilka kwa kias kikubwa na hapo ndipo moyo ukaanza kuniuma na maradhi yakaanzia hapo.
.alinikatia cm
.aliongea kwa ukali
.alikuwa hana muda na mm
.kauli za kejeli na dharau ndiyo ikawa mvua iliyoninyeshea kila siku
Ucku wa mwaka mpya nilimpigia cm na kumbembeleza akakiri na kusema tuache ya mwaka jana tuanze upya. Kesho yake hali iliendelea vile na mpka aliporud chuo ndipo akazidi.alikuwa ananiaga kwny cm kuwa anaenda kudiscuss lkn nikimtxt na kumcall hajib mpka kesho yake. Nilimdodosa rafk yake ambaye alifunguka mambo mengi kuhusu kuchelewa kwake kurud, kuongozana na wanaume tofauti na mambo mengine mabaya ambayo yalinifnya nifunge safari kumfata chuo na kwa hakika niliyaona na mengine niliyashuhudia yakiumiza moyo, nilipomnyang'anya cm kuona undani wa hayo yote aligeuka mbogo na kunifokea akidai mapenz hayalamishwi. Niliona chat za rafk zake akiwaambia anataka aniache na alichat na boyz wengi akiwatembelea hostel huku kuna jemba ambayo ilichukua akili yake huku akiipelekea chakula na treatment nying za kinyamwez.
Akili ilipoteza uwezo wake, nikawa wa kuzurura viunga vya chuo na nguo zangu ambazo zilichakuka kwan ckwenda na nguo za kubadili,pesa niliishiwa na nilipopata kdogo nile niliishia kulia kwani Cafeteria nilipoenda kula ndipo mahali ambapo tulikula nae kipind cha nyuma.
Kauli yenye nguvu iliyotawala akili yangu ni "tumeumbwa tuishi na mwisho tufe kwa heri au kwa shari tupishe vizazi vijavyo, huu ni muda mwafaka wa kumpisha mpnz wangu aponde raha na nimwonyeshe kuwa nilimpenda, sioni umuhimu wa kuishi kwa karaha kheri bora nife nipumzike"
Nilijikuta katika mikono ya vijana nisiowafahamu ambao walikuwa wanasoma SUA (mungu awabariki sana).walinijenga na kukaa na mm huku wakitumia pesa zao kunihudumia. Hata waliponileta msamvu kupanda gari wakaniacha niliangua kilio hadharan nikageuka sinema pale stend...huo ndio ukawa mwanzo wa kuumia nikaambulia vidonda vya tumbo, kugombana na ndugu yangu wa damu, kuishi maisha magumu yaliyojaa hasira, roho ya kisasi,msongo wa mawazo na hisia za kujiona nadharaulika sina thamani.
Kipind hiki nikiskia jingle za xmass & new year nakumbka muda wa mwisho niliofurahi na mpnz wangu kisha akaniacha....naumia sana natamanu nisiziskie....

Mwaka umeisha, sahau hayo mambo
 
McDonaldJr

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
6,392
2,000
Mtani unatembea bila tairi ya spea alafu safari ndefu..?Pole sana ukiwa na mke/mpenzi chuo jipe asilimia kadhaa kua unasaidiwa majukumu ya kijamii.
 
poa tu

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
1,174
2,000
Ila kuna nyakati huwa nashukuru kuumbwa hivi (kutokujali kabisa dynamics za kimapenzi) japo zipo nyakati huwa natafsirika na kulaumiwa sipo romantic ila tabia hii imeniepusha na maumivu mengi. Ni hatari sana kuwekeza hisia na furaha yako kwa MPENZI.
 
robert shigula

Senior Member
Dec 11, 2017
135
225
Mwaka jana mwez wa 12 mara baada tu ya mahafal yangu, nilianza kuona mabadiliko hasi kwa mpenz wangu ambayo yalianza kutishia uhai wa mahusiano yangu ambayo kwa hakika niliwekeza akili,mwili,future,rasilimali na muda wangu ktk kuyajenga. Mpenz wangu taratib alianza kubadilika japo kwa taratib sana ila nikastukia kwa sababu nilimzoea na kumjua kuanzia utosi hadi ukucha.
Baada ya kuona hayo nikajipanga kumfuata huko morogoro kwa nia ya kukaa nae karibu na kudadisi kiini cha jinamizi aliyenyemelea mahusiano yangu.mwitikio wake juu ya kumfata pia ulinitia shaka kwa sabab hakuonyesha shauku kama ilivyokuwa mwanzo. Cku moja kabla ya christmass nilienda tukawa wote na alinipa tunda vizur kwa siku ya kwanza na ya pili kisha siku 3 zilizofuata akabana kwa kuanzisha maada ya kwamba tusitishe mpka tuoane.katika hicho kipind chote tulijifungia hostel kwa sabab aligoma kwenda lodge kwani chuo kilifungwa na wanafunz wengi hawakuwepo.kwa siku tano tulijifungia tukiskiliza jingles xmass & new year na nyimbo za kikatoliki zenye jumbe za christmass. Pamoja na kubaniwa tunda cku tatu mfululizo lkn nilifurah sana kipind kile kwa kukaa nae kwani nilimpenda sana.mara baada tu ya kuondoka akaanza kubadilka tena. Ndani ya week moja alibadilka kwa kias kikubwa na hapo ndipo moyo ukaanza kuniuma na maradhi yakaanzia hapo.
.alinikatia cm
.aliongea kwa ukali
.alikuwa hana muda na mm
.kauli za kejeli na dharau ndiyo ikawa mvua iliyoninyeshea kila siku
Ucku wa mwaka mpya nilimpigia cm na kumbembeleza akakiri na kusema tuache ya mwaka jana tuanze upya. Kesho yake hali iliendelea vile na mpka aliporud chuo ndipo akazidi.alikuwa ananiaga kwny cm kuwa anaenda kudiscuss lkn nikimtxt na kumcall hajib mpka kesho yake. Nilimdodosa rafk yake ambaye alifunguka mambo mengi kuhusu kuchelewa kwake kurud, kuongozana na wanaume tofauti na mambo mengine mabaya ambayo yalinifnya nifunge safari kumfata chuo na kwa hakika niliyaona na mengine niliyashuhudia yakiumiza moyo, nilipomnyang'anya cm kuona undani wa hayo yote aligeuka mbogo na kunifokea akidai mapenz hayalamishwi. Niliona chat za rafk zake akiwaambia anataka aniache na alichat na boyz wengi akiwatembelea hostel huku kuna jemba ambayo ilichukua akili yake huku akiipelekea chakula na treatment nying za kinyamwez.
Akili ilipoteza uwezo wake, nikawa wa kuzurura viunga vya chuo na nguo zangu ambazo zilichakuka kwan ckwenda na nguo za kubadili,pesa niliishiwa na nilipopata kdogo nile niliishia kulia kwani Cafeteria nilipoenda kula ndipo mahali ambapo tulikula nae kipind cha nyuma.
Kauli yenye nguvu iliyotawala akili yangu ni "tumeumbwa tuishi na mwisho tufe kwa heri au kwa shari tupishe vizazi vijavyo, huu ni muda mwafaka wa kumpisha mpnz wangu aponde raha na nimwonyeshe kuwa nilimpenda, sioni umuhimu wa kuishi kwa karaha kheri bora nife nipumzike"
Nilijikuta katika mikono ya vijana nisiowafahamu ambao walikuwa wanasoma SUA (mungu awabariki sana).walinijenga na kukaa na mm huku wakitumia pesa zao kunihudumia. Hata waliponileta msamvu kupanda gari wakaniacha niliangua kilio hadharan nikageuka sinema pale stend...huo ndio ukawa mwanzo wa kuumia nikaambulia vidonda vya tumbo, kugombana na ndugu yangu wa damu, kuishi maisha magumu yaliyojaa hasira, roho ya kisasi,msongo wa mawazo na hisia za kujiona nadharaulika sina thamani.
Kipind hiki nikiskia jingle za xmass & new year nakumbka muda wa mwisho niliofurahi na mpnz wangu kisha akaniacha....naumia sana natamanu nisiziskie....
Pole xana kaka tupo wengi kumbe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions
Thread starter Title Forum Replies Date
bonjov Heri ya Christmass wana JF wote. Mahusiano, mapenzi, urafiki 2

Similar Discussions

Top Bottom