Mwana mama kupata watoto na wanaume wa tatu wa familia moja.

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
Ilianza baada ya kukutana na mwanaume na kahidiana kuoana, siku alipopelekwa ukweni alimuona kaka mkubwa anavutia zaidi. Alifanikiwa kuhamishia penzi kwa kaka yule na kufunga ndoa ya bomani.

Walifanikiwa kupata watoto na bahati mbaya mwanaume alifungwa jela. Akiwa na watoto na changamoto za maisha, mdogo wa mwisho katika familia alive a jukumu la kulea familia ile na shemeji alimpa kitumbua si elewi kama ni kwa mapenzi au kulipa fadhila. Aliishi a kubwba uja uzito na kujifungua salama mtoto wa shemeji.

Walipokwaruzana na shemeji yake aliye chumba wa kwanza alipelekewa malalamiko. Katika kuweka mambo sawa na yeye alitunukiwa zawadi na shemeji.

Sasa ni mchanganyiko hajulikani mtoto wa baba mkubwa wala baba mdogo. Dunia ni majanga.
 
Hatari sana. Ila vip kwenye yale makabila ambayo wanarithishana wake? Mchanganyiko kama huo si kawaida tu
 
Ingawaje huyo Mwanamke beki hazikabi kwa Mashemeji zake ila hyo Familia ya Kiume ndio inahitaji Maombi zaidi kutokana na laana hiyo inayowanyemelea!!!
 
Ilianza baada ya kukutana na mwanaume na kahidiana kuoana, siku alipopelekwa ukweni alimuona kaka mkubwa anavutia zaidi. Alifanikiwa kuhamishia penzi kwa kaka yule na kufunga ndoa ya bomani.

Walifanikiwa kupata watoto na bahati mbaya mwanaume alifungwa jela. Akiwa na watoto na changamoto za maisha, mdogo wa mwisho katika familia alive a jukumu la kulea familia ile na shemeji alimpa kitumbua si elewi kama ni kwa mapenzi au kulipa fadhila. Aliishi a kubwba uja uzito na kujifungua salama mtoto wa shemeji.

Walipokwaruzana na shemeji yake aliye chumba wa kwanza alipelekewa malalamiko. Katika kuweka mambo sawa na yeye alitunukiwa zawadi na shemeji.

Sasa ni mchanganyiko hajulikani mtoto wa baba mkubwa wala baba mdogo. Dunia ni majanga.
sioni tatizo hapo,sababu hao bro ni damu moja kwaiyo huyo mwanamke ni chakula yao wacha wampakue tuu sababu kyuma yake inawasha sana.
 
Back
Top Bottom