Ukimwambia mwanamke kuwa unamtamani ni kesi kubwa sana, wanaona kama kutamaniwa sio haki yao. Wengine hudiliki kusema "hukunipenda, ulinitamani tu" (kana kwamba kutamaniwa ni kitu kibaya). Ajabu...
Kimsingi tofauti ya changudoa na mwanamke alieolewa au aliekwenye mahusiano eti kwasababu ya mkwanja wa mwanamme ni ndogo sana. Tofauti yenyewe ni kwamba changudoa anatoa huduma kwa umma (public)...
NAOMBA NIONGEE KIDOGO NA WANAUME MLIOOA
(Kopi kwa wanawake wote mlioolewa)
Kadiri wanawake wanavyopambana kujikwamua kiuchumi ndivyo ndoa nyingi zinazidi kuingia matatizoni. Tatizo sio wao...
Natumai mmeamka salama Tanzania yote!
Nimegundua mchezo hatari unaoleta mkanyagano na kung'atana katika mahisiano.
Mwezi uliopita niligombana na shemeji yenu kiasi cha kunyofoana nguo...
Ni ngumu kupata ajira watu wote tukaajiliwa muda mwingine tunatakiwa tujiongeze na hakuna kitakachoshindikana Leo naomba nitoe tumaini jipya kwako ww kijana unayehangaika kuitafuta kazi bila...
Habari wana JF salamu nyote,
Niende kwenye mada ndugu zangu,
Naombeni kujuzwa zaidi ni ipi zaidi faida ya kunywa kahawa?
Ni muda wa wiki mbili toka naanza kunywa kahawa seriously zaidi kidogo...
Nimekuta nikimvulia vyeo vyangu binti ambaye nmekutanana nae muda mfupi uliopita.
Katika safari ya kuelekea ndoto yangu ya kuwa field marshal iliyoishia kwenye ukanali sijawahi muona binti...
Habari za wakati huu enyi watu Mungu?
Ebana hapa mezani kwangu kuna kesi nimeletewa na mshikaji wangu nimsaidie kumpa mawazo lakini obvious mimi nimeshindwa hata niisuruhishe vipi, issue iko hivi...
Imegundulika kwamba 99.9% ya Wanaume waliozaliwa kati ya mwaka 1980 hadi mwaka 2000 walijifunzia ' Ngono / Kubaiolojika ' kupitia kwa House Girls / House Maids wao ( yaani Wadada wa Kazi au...
Nimekuwa nikijiuliza uhalisia wa jina la mtu na matendo yake,lakini nikakumbuka msemo wa kikwetu usemao"Eibala libi lita nyinalyo" kwa tafsiri isiyo rasmi ikiwa na maana kwamba jina baya...
Wakuu,
Kwa wale ambao hatujawahi kusex kabisa tuseme neno hapa
Unavyoisikia sex ni picha gani inajengeka kichwani mwakoo
Unataman kusex na mtu wa aina ganii
Yaani mtazamo wako ktk sex ni upi...
Kama kawa kama sawa!!
Kila siku nasikia vijana mabachela wanauliza kuhusu hili swala la mke kuwa Wife material au kwa wadada kutafuta mwanaume husband material au kwa ufupi wanatafuta mtu ambaye...
habari wana jf
natumaini kwa uwezo wa MWENYEZI MUNGU kila mmoja yuko poa kwa nafasi yake; ingwa kunawengine hawapo vzuri sana kiafya muda huu pengine wapo vitandani wakiuguza majeraa mbali mbali...
Kwanza niwapongeze kwa kazi mnayoifanya kuendesha hii Jf, ila nimeshangazwa na uzi wangu kufutwa hapa MMU bila kuelewa tatizo hasa nini kwani nikiangalia maudhui ya ule uzi haukua na maneno makali...
Mahusiano ni jambo pana sana katika dunia hii
watu wengi wamejikuta wanaendele mbele kwenye mahusiano feki wakaishia kuumizwa na wengine hadi wamedhubutu kujiua kwasababu ya gmahusiano .
Leo...
Zamani ilikuwa ni kwa wanawake tu ila sikuhizi hata wanaume wanafuata pesa na kupenda miteremko.
Mapenzi sio sehemu yakutegemea kunufaika tu, ziko nyakati utalazimika kujitoa, kusacrifice kwa...
Habari zenu wadau,
Multi maca inatokana na mmea unaoitwa lepidium meyenii kutoka nchi ya Peru na una historia zaidi ya miaka 2000,Nchini Peru mmea huu hutumika na watu kuanzia umri wa miaka...
Msichana wa miaka 17 Charlotte Guy ambae ni Mwanachuo Uingereza amekutwa amejinyonga baada ya kumtumia Mpenzi wake meseji kwa bahati mbaya.
Inadaiwa Charlote alitaka aitume msg hiyo kwa rafiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.