habari ndugu zangu. Nataka kuhamia morogoro na sijawahi kufika. Naomba kwa wakazi wa morogoro tutawasiliane kwa namba 0752514927. Au godwingerald34@gmail.com.
Naomba saaana msaada wenu ndugu zangu.
huyu bint ni muda ananipenda sana.. amekuwa akiniletea letea masharti kuhusu bikra yake. lakini jana mwenyewe kaniletea nihangaike nayo pasipo kuzingatia masharti yake. maana vigezo tayari...
Hii ni kama mara ya 7 hivi nakutana na tukio kama hili. Wanawake wakiamua ni smart sana kichwani. Mpaka waamue. Mwka jana mwishoni nlikuwa karibu na dada mmoja tukawa tunadate.alikuwa na wivu uso...
Mdada ukitongozwa kabla haujamkatalia mwanaume kwa nyodo.
Soma Isaya 4:1 inasema hivi;
"Wakati huo wanawake 7 (saba) watamvamia mwanaume mmoja (1) na kumwambia "chakula na mavazi tutajitafutia...
Mwaka flani nikiwa kikazi mkoa flan nikakutana na dada mmoja mwenye kuvutia sana. Actually nlienda tu kwa miezi kadhaa kwa ajili ya kazi maalum. Basi allahamdulilah nikasema si haba nami...
Ni wamama wawili sasa nimeona wamebadilika sana hapa kazini. Kila mtu kwa nafasi yake analalamika kuwa sasa ana hard time mahitaji ya kimwili hapati na mumewe yupo Dodoma.
Ushawishi wao ni...
Niliamini mwanaume sio mtu lege lege, hivyo nilijikaza na kuamua kwenda kazini, kutokana na kufanya kazi juani na kwa muda mrefu nilijihisi kuchoka na nilijisikia vibaya,
Nilienda kuomba ruhusa...
Hapo vip!!
Mimi katika research zangu nimegundua wanaume handsome na beatifuly au Pretty girls hawana roho mbaya (roho ya zakitatili)
Katka research zangu nimegundua sura ya mtu inaweza...
Tumezaliwa watatu wa kwanza ni wa kiume, wa pili mimi na watatu ni wa kike hawa wawili wananitenga na kunibagua hawanithamini wala kunijali kananiita hopeless huyu kaka yetu hana kazi na mimi sina...
Habari JF
Naomba kuuliza Eti bao la usingizin linavibe sana kuliko lakawaida.
Maana kuna siku niliwahi kumsikia Msanii Fid q akimsifia demu wake kuwa anapenzi tamu kama bao la usingizin...
1, Miss Natafuta
2,Shunie
3, red apple
4,Curious gal
5, Miss Curious
6, FaizaFoxy
7, Evelyn Salt
8, miss chagga
9, Numbisa
10,pretty gal
11, kapeace
12, Sky Eclat
13, Mama Sabrina
14, jikeshupa
15...
Wanawake wa kibongo wengi wana roho mbaya,wabinafsi,wamekosa utu
Unamkuta mwanamke hana kazi yupo yupo tu unamwoa unamtafutia biashara anaifanya anafanikiwa mwisho wa siku anaanza kugongwa nje...
Ndugu wadau sina haja ya kujaza porojo kibao kwenye thread hii ila ukweli uko wazi.
Ninadhani ni wakati muhafaka sasa kwa bunge letu kupitisha muswada wa mabadiriko ya kiapo cha ndoa ili tuingize...
Wadau kwema,
Awali ya yote niseme tu kwamba mimi ni moja kati ya watu ma konkodi yaani hardcore kiasi cha kuhimili hali tofauti na yenye mazingira magumu bila kutetereka ila nimeshindwa.
Nina...
Ni ukweli usiopingika kwamba katika hatua fulani ya kuolewa mwanamke huchagua sana wanaume. Kibaya sana ni pale mwanamke kushindwa kumkataa mwanaume mwenye uwezo mzuri kiuchumi na hufikia hatua...
ISHI TOFAUTI, Unapokosewa au kukosea jifunze kuzuia fujo, mahasira, maamuzi ya kukurupuka, lugha chafu, ubabe ubabe, ngumi mkononi, kuchepuka makusudi umkomoe mtu, kuchunia watu na mabifu ya hapa...
Tulikuwa ndo kwanza tumeingia chuo ila tayari nilikuwa nimefanikiwa kupata marafiki kadhaa wapya.
Wengi wa marafiki zangu walikuwa watoto wa kimji na wengi wao walijiona wajanja kuliko mimi. Kitu...
Wanaume wa miaka hii wanaboa kweli yani naweza sema wengi ni midume suruali kwani haiwezekani mtu yupo kifuani anahema kwa kasi kama anataka kukata roho kulikoniii?
Istoshe kabla ya kufunga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.