Wale ambao hatujawahi kusex kabisa tukutane hapa

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
3,048
Reaction score
3,418
Wakuu,

Kwa wale ambao hatujawahi kusex kabisa tuseme neno hapa

Unavyoisikia sex ni picha gani inajengeka kichwani mwakoo

Unataman kusex na mtu wa aina ganii

Yaani mtazamo wako ktk sex ni upi?

Binafsi mimi Mjina Mrefu nilishasex mara lukuki tu
 
Mkuu badili Uzi wako uandike wale walio wahi kusex Mara lukuki tukutane hapa ndio usubili wachangiaji tofauti na hivyo nadhani huwezi kupata wachangiaji
 
Wakuu,

Kwa wale ambao hatujawahi kusex kabisa tuseme neno hapa

Unavyoisikia sex ni picha gani inajengeka kichwani mwakoo

Unataman kusex na mtu wa aina ganii

Yaani mtazamo wako ktk sex ni upi?

Binafsi mimi Mjina Mrefu nilishasex mara lukuki tu

Shuka zenu zingekuwa Ngozi ya Binadamu zingejaa sana ' Plasta ' kwani kwa ninavyojua Wanaume ambao hawangonoki kama Wewe unayejisifia humu huwa mnazipa sana mauvimu Shuka zenu kwa ' Kuzimwagia ' hiyo ' Mishahawa ' yenu kila mlalapo usiku. Na wengi wenu mmeboea / mmetukuka mno katika Kupiga ' Punyeto '.
 
Wewe umesema uwehi kusex, halafu unasema ambao hautujawahi kusex mkutane, huoni upo kinyume?
Kuna kitu kinaitwa pragmatics ktk lugha,, nadhani tu umeshindwa kuelewa..

Ulishawah kwenda hospital, daktari anakuambia, EMBU NIAMBIE LEO TUNA SHIDA GANI...? Unadhani uyo dokta naye anaumwa?
 
Shuka zenu zingekuwa Ngozi ya Binadamu zingejaa sana ' Plasta ' kwani kwa ninavyojua Wanaume ambao hawangonoki kama Wewe unayejisifia humu huwa mnazipa sana mauvimu Shuka zenu kwa ' Kuzimwagia ' hiyo ' Mishahawa ' yenu kila mlalapo usiku. Na wengi wenu mmeboea / mmetukuka mno katika Kupiga ' Punyeto '.
Haha... Just Haha

Ukiona Gentamycine ame comment hapa, basi nae bikra
 
Kuna kitu kinaitwa pragmatics ktk lugha,, nadhani tu umeshindwa kuelewa..

Ulishawah kwenda hospital, daktari anakuambia, EMBU NIAMBIE LEO TUNA SHIDA GANI...? Unadhani uyo dokta naye anaumwa?
Ngoja niachie nafasi na wengine wa kubishie
 
Back
Top Bottom