Ajinyonga baada ya kutuma msg kwa mpenzi wake kimakosa

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,618
Reaction score
9,611
Msichana wa miaka 17 Charlotte Guy ambae ni Mwanachuo Uingereza amekutwa amejinyonga baada ya kumtumia Mpenzi wake meseji kwa bahati mbaya.

Inadaiwa Charlote alitaka aitume msg hiyo kwa rafiki yake kumwambia kuwa amelala na Mwanaume mwingine usiku wa jana.

[HASHTAG]#MillardAyoUPDATES[/HASHTAG]
 
Under 18 wanashauriwa kukaa mbali na mapenzi. Kama huyo jamaa ni above 18 kesi inamhusu. Atakula mvua chache kama tu atakua hakujibu neno la kukwaza kwa ujumbe wa Binti.
 
Hahaaa. Aisee atakuwa na sababu nyingine nje ya hilo aisee. Sababu unaweza sema ni woga ila huo wake sio woga sababu angekuwa mwoga angeogopa huko kulala na huyo mwanaume mwingine na sio kutuma msg.

Ila pia hajataka kujiongeza. Si angesubiri tu kwanza aone moshi utafukaje sasa kuanza kujinyonga tena lol.

Umri pia nao ni unaweza kuwa sababu.
 
Wazungu wana maamuzi magumu.
 
Msichana wa miaka 17 Charlotte Guy ambae ni Mwanachuo Uingereza amekutwa amejinyonga baada ya kumtumia Mpenzi wake meseji kwa bahati mbaya.

Inadaiwa Charlote alitaka aitume msg hiyo kwa rafiki yake kumwambia kuwa amelala na Mwanaume mwingine usiku wa jana.

[HASHTAG]#MillardAyoUPDATES[/HASHTAG]
Kajitendea haki
 
Back
Top Bottom