fleha
Senior Member
- Oct 9, 2014
- 111
- 103
Ukimwambia mwanamke kuwa unamtamani ni kesi kubwa sana, wanaona kama kutamaniwa sio haki yao. Wengine hudiliki kusema "hukunipenda, ulinitamani tu" (kana kwamba kutamaniwa ni kitu kibaya). Ajabu inakuja pale mwanamke wako atakaposikia unamtamani mwanamke mwingine. "Utasikia unakosa nini kwangu" (kana kwamba una nafasi ya kutosha kumtamani yeye)