Ni vigumu sana kuamini kichwa cha habari hapo juu. Dah! kiukweli leo nimepigwa chini baada ya miezi kama 5 tangia nianze kumfukuzia binti mmoja hivi ambaye nilikuwa na lengo la kutaka kumuoa...
Nimeona mara nyingi wanawake wakiwashobokea Waalimu, Madaktari, Wanasheria na baadhi ya watu wa career fulani fulani cha ajabu nimeona ma Engineer hatupewi priority wala kushobokewa na wanawake...
Uko na mpenzi wako chumbani ambae mlijuana kupitia moja ya mitandao ya kijamii mkishirikiana kwenye kuivunja amri sita.
Mpenzi wako huyo huwa ana kawaida ya kuja kwako na kuondoka au wakati...
Hivi inakuwaje wadau mwanaume unapotongoza msichana kwa lengo la kuoa hupati kirahisi kama ambavyo unataka mwanamke wa kustarehe nae?
Hili swala linanitatiza sana. Naomba michango yenu, ladies...
Hallo,JF,
Wadau naomben mawazo yen juu ya tatizo hili,
Nina mjomba wangu ambaye ana mke na watoto watatu wameishi kwenye ndoa huu sasa ni mwaka wa 4. Watoto hawa watatu waliowazaa ndan ya hii...
Habari zenu wakuu !
nimeamua kuandika huu uzi kwa sababu nami ni muhanga katika suala hili ila nimekaa chini na kuamua kuandika ili niwasaidie vijana wenzangu juu ya suala hili
Lakini mtakumbuka...
wapendwa wana JF
mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28!
Napenda kuwasilisha ombi langu la kutafuta mme
sifa za ninaemtaka
awe na umri wa kuanzia miaka 25-na kuendelea!
elimu kuanzia masters...
Utafiti wangu wa miaka zaidi ya 20 unaonyesha yafuatayo:
1. Kwenye familia nyingi sana watoto wa kwanza huwa na maisha magumu na struggle nyingi
2. Wenye majina yafuatayo mara nyingi huja kupata...
Salaam bandugu
Sina nia ya kutetea uzinzi but kwa mwanaume kubadili radha ya mboga ni kawaida.Sasa my concern yangu ni hiyo,alwayz kila napochepuka napiga show ya chini ya kiwango hasa first...
Akili za Usiku.....
Hivi jamani Mdada tena above 20 anapolalamika et alitumiwa akaachwa huwa anakuwa na Maana Gani... Wakati huo huo Unakuta mdada Ni wa Design hii
1. Showoff Nyingi kila Mahali...
Umempokonya mwenzio ukapewa usukani wewe unaanza mbwembwe kisa nimekujengea nyumba unapiga pamba blin blin acha hizo.
Big house naiheshimu au unataka tuachane wewe uwe mmiliki wa kila kitu mpaka...
Assalam alykum nyote wazima humu??Leo nimekuja kuchangia mada kuhusu kutoa nuksi mbali na ile ya chumvi ya mawe. Hapa nazungumzia kahawa unatia kahawa kijiko kimoja unachanganya na maji ya moto...
Habari zenu wadau,
Wiki kama tatu zilizopita tulikuwa na mgogoro na mume wangu kuhusu kuwa na nyumba ndogo. Katika uchunguzi wangu nikagundua ni single mother alikuwa anajitahidi sana...
Hivi ushawahi kuingia kwenye mgahawa ukaletewa chakula kwenye sahani iliyotoka kiwandani leo,au ushawahi kimuuliza mhudumu kwenye mgahawa ulioenda kula chakula eti wewe ni mtu wa ngapi kutumia hyo...
Rafiki yangu ametembea na binti aliyeathirika (HIV Positive) huku anajua binti kaathirika. Mbaya sana ni kuwa anatamani kumrudia tena. Tatizo jamaa hashauriki anaamini mno kondom za wazungu
SOMA MPAKA MWISHO
Mwanaume ANAKIJUA ANACHOKITAKA na akikutana nacho hahitaji kusukumwa kufanya maamuzi, Angalia usipotezewe muda. Nataka usome haya maandiko hapa taratibu nikuonyeshe kitu..
Mwanzo...
Jamani uzinzi ni jambo baya lenye gharama nyingi Na kubwa kiroho, kimwili, kiakili , kihisia Na kijamii.
Ila kwa kweli ningekuwa mwanaume wadada wangenikoma, ningetembeza bakora mpaka baaasi.
Kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.