Habari ya sikukuu wakuu,
Hapa nipo bar moja maeneo dulani napata moja baridi, sasa meza ya jirani kuna jamaa alikua pekee anakunywa soda mix na bapa, baada ya muda kaingia binti na bashasha kuu...
Kuna lugha siku hizi wasichaa wanaita wapenzi wao ambao hawajawaoa ( hawara/boyfriend) madanga. jamani hii lugha naichukia sana tafadhali badilikeni.mwanamke wa ukweli hawezi kumuita mwanaume hivyo.
Tenda lolote jema mnunulie nguo mpetumie pesa uwezi kusikia wala kukutumia text ya asante huu ugonjwa tatizo lake nini hebu wenye uzoefu waje waseme kitu
Agatuse(sio jina halisi) alifika mkoani Mtwara ambapo alienda kikazi kwenye kiwanda kimoja kikubwa. Hata kabla ya hili vuguvugu la kibamia lienee nchini Agatuse alikuwa alijigundua kuwa naye ni...
Natafuta mpenzi awe serious na mimi anipende jinsi nilivyo aniheshimu nami nitampenda na kumueshimu siku zote. Na mwisho tufunge ndoa takatifu.
Sifa za mpenzi wangu:
Umri :30-35
Awe na mapenzi...
Ucku Wa Kuamkia Leo Yamenikuta Hapa Nipo Km sijielew.... Nina Mke Na Watoto 3. wa kwanza miaka 8. Kimaisha Nipo Dar Mke Wangu Alipata Ajira Mafia family is dar 2 mafia.
Tumeishi Kwa Upendo Kwa...
Kwenye mapenzi kuna mambo mengi sana. Unaweza ukawa na mpenzi kwa sababu tu ya mazoea na sio kwamba unampenda au anakuridhisha kunako tendo la ndoa.
Sasa kama wewe mwanaume una mpenzi wako na...
Rafiki yngu ana mke na wana mtoto wa miaka 6 mwanamke amejenga kwao pasipo kumshirikisha mme na anakopesha watu hela za riba the same way! mdai wake ameshindwa kulipa ndipo akamshirikisha mmewe...
Maana kuna baadhi wanaume wamekuwa wakilalamika kwamba siku zote wao ndio wamekuwa wakianzisha mtanange. Swali kwa dada zangu naomba mtujuze mnatumia njia gani maana huenda mkawa na njia zenu...
sikukuu ya wapendanao imekua ni siku ya kuwakutanisha wapendanao, japo tunashauriwa kuonesha mapenzi kila siku lakini tarehe 14 ni siku rasmi kwa ajili ya mahaba niuwe na nigaragaze. Wakati wengi...
PUNYETO KWA WANAUME HUPUNGUZA BAHATI
Uchunguzi wangu wa kina umeniwezesha kugundua ya kuwa suala la Upigaji wa Punyeto Kwa Wanaume hupunguza bahati na furaha kwa...
Wana JF,
mimi ni binti wa miaka 23, nimeolewa na nina mtoto mmoja. Kwa maumbile, sio siri nina makalio makubwa sana kiasi kwamba kila nikipita sehemu watu wote wanawake kwa wanaume hawaachi...
Habari zenu wakuu mwenzenu leo yamenikuta mimi na mpenzi wangu tunaishi nyumba moja ila vyumba tofauti mimi naishi mwenyewe ila yeye anaishi na shangazi yake imekuwa kawaida shangazi yake.
Sasa...
Naamini mitandao ya kijamii ipo kuweka jamii pamoja na kusocialize kwa urahisi. Mim kijana wakiume Nikiwa na umri wa miaka 27, natamani sana kuoa mikoa ya Tanga Singida na manyara kwasababu zangu...
Huu mji wa Dar una wenyewe sisi tunaotoka mikoani unaweza ukaumbuka asubuhi asubuhi tu hivi nyie vidume wa Dar mnahimili vipi msongamano wa kwenye usafiri hasa mwendokasi au nanihii zenu mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.