MAJINA NA UHALISIA(Without Prejudice) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MAJINA NA UHALISIA(Without Prejudice)

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mayenga, Jan 11, 2011.

 1. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,749
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  Nimekuwa nikijiuliza uhalisia wa jina la mtu na matendo yake,lakini nikakumbuka msemo wa kikwetu usemao"Eibala libi lita nyinalyo" kwa tafsiri isiyo rasmi ikiwa na maana kwamba jina baya huashiria mabaya kwa mwenye nalo mfano majina kama Tabu,Domo Kaya nk,ni rahisi kukuta watu hao wakiendana na matukio yenye kufanana na majina hayo.Kwa upande mwingine kuna majina mengine ya kigeni kama Diana , Lucy,Anna,Penina nk,kwa uchunguzi wangu majina haya ni ya kushangaza.Mfano watu ninaowajua wenye kuitwa jina la Lucy,na Anitha weng hawajatulia,vijana wa mjini wanasema ni milupo,watu wengi wenye majina ya Penina ni watulivu na wapole.

  Nipeni uzoefu wenu kwenye hili.
   
 2. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  I see hapo kwenye penina nakubishia kuna mdada mmoja yeye ni clearing agent anaitwa penina hakuna mtu kwenye kazi ya u clearing asiemjua yaani huyo dada ni full mcharuko. Kama unabisha uliza mtu yoyote ndani ya mamlaka ya bandari au custo,s wanao dela na clearence za magari/kontena au agent yoyote atakupa full mkanda.

  Majina ya kizungu yana maana kama zetu na mengine yana maana mbaya sana mfano jina la Diana sio jina zuri kumpa mtoto wako kwani ni jina la kipagani lenye maana "mungu mwanamke wa mapenzi" (sexy) wa kigiriki. he girl's name
  Diana \di(a)-na\ is pronounced dy-ANN-ah, dee-AHN-ah. It is of Latin origin, and the meaning of Diana is "divine". Mythology: Diana was an ancient Roman divinity who came to be associated with the Greek god Artemis

  Mfano mwingine ni Nyota kuna mwanadada muimbaji anaitwa Nyota Waziri jina la nyota lina maana sawa na Stella.
  The girl's name Stella \s-tella, st(el)-la\ is pronounced STEL-ah. It is of Latin origin, and the meaning of Stella is "star". Mostly literary use until the 19th century, when the name became popular. Linked in most minds to the movie "A Streetcar named Desire", where Marlon Brando bellowed "Stella!"
   
 3. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mh!
   
 4. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Inategemeana na majina yanatoka wapi,kwa wenye kutoa majina toka kwenye makabila yao huwa majina wayatoayo huwa mara nyingi hushahabiana kabisa na tabia za yule ambaye jina limetoka kwake ila kwa majina haya ambayo tumeyapata toka kwa wazungu mara nyingi yana maana zake ingawa ni nadra sana kushahabiana na tabia za jina halisi.
   
 5. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  with lucy mmmh wengi niwajuao ni full mcharuko kwakweli,grace wengi wapole,nema its a two way side,allan wengi ma silent killer wakimnya sana wanamake friends easily lkn hawajatulia,derick,napenda jina hili lkn sijui tabia zao
   
 6. k

  kabindi JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 334
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tabia ya mtu ina viashiria vingi kama vile wazazi ambao wanakupatia jina, urithi wa vichocheo vya mwilini (vinasaba) kutoka kwa wazazi au mababu! watu unaoishi nao, marafiki, tabia ya jamii unayoishi, utashi wako kulingana na mafundisho unayoyapata kutoka sehemu mbalimbali.
  Jina kama jina halina chochote ila inategemea wakati mwingine na athari za kisaikolojia mtu anapokuwa amepevuka ki-ufahamu akahisi kwamba jina lake lazima liendane na maana yake! mfano MUTALEMWA! maana asiyekubali kushindwa! hivyo mtu huyo atajitahidi kufanya mambo na wakati mwingine kulazimisha ili mafanikio yake yaendane na jina lake! ingawa si kwa wote na wakati wote!
   
 7. Kahema

  Kahema JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2011
  Joined: May 21, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  rose(wamebalikiwa uzuri ila malaya kishenzi hawafai kabisa)
   
 8. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Pearl,Preta,Mwanajamii 1,Husninyo,Shosti,Tatiana,Ms Judith na Michelle je?................LOL
   
 9. M

  Mlima Member

  #9
  Jan 11, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  To some extent nakubaliana na ww kuwa jina laweza kubeba tabia ya mtu lakini mazingira yanachangia pia
   
 10. birungi

  birungi JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Birungi,birunji,karungi- yote yana maana ya kizuri/vizuri na mazuri.wengi wa majina haya nimewaona ni wazuri wenyewe na hata tabia zao.

  alex- ni majina mazuri na mara nyingi huwa wapole na wawajibikaji,mpiganaji, pia hujali familia zao no matter what.

  violeth- hawapo real,wanapenda wajionyeshe tabia ambazo sio zao

  ritha-huwa wazuri wa mvuto wengi wanapenda kazi za sanaa au media japo si wote wanatimiza kufanya hivyo.ni wasiri sana.

  brenda -wengi huwa na sura za upole ila tabia zisizotafsilika.

  anyway mara nyingi sana matendo ya mtu huendana sana na nyota yake.
   
 11. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hapo ni mapozi kwa sana tu!
   
Loading...