Kanali nimekamatika kwenye mahaba

Kanali nimekamatika kwenye mahaba

kanali mstaafu

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Posts
4,317
Reaction score
4,118
Nimekuta nikimvulia vyeo vyangu binti ambaye nmekutanana nae muda mfupi uliopita.

Katika safari ya kuelekea ndoto yangu ya kuwa field marshal iliyoishia kwenye ukanali sijawahi muona binti akanikaa moyoni kwa ghafla kama huyu. Mara tu baada ya kumuona moyo ulipiga 'paaaaa'. nimesalimiana nae na kuna project moja nadhan itanikutanisha nae next month.

Mpka sasa hivi haaaata sielewi moyo unadunda na naomba Mungu aje kuwa mama watoto wangu. Nimekuta nikivutiwa nae sana japo sijajua kichwani kama ni yu haba au ana-vifact kidogo kama akina Evelyn salt. Nimemuelewa sana. Dua zenu wakuu. Nashindwa kufunguka sana asije akawa huku jf nikamkosa njiwa wangu.

Maoni, ushauri na dua kuelekea harakati zangu za kumkamata huyu njiwa vinaruhusiwa.

Mungu ibariki Afrika
Mungu bariki harakati za kanali
 
canal sio kichechei kilicho toka depo juzi unataka ukipumzikie kweli

ila all the best mtu wangu
 
canal sio kichechei kilicho toka depo juzi unataka ukipumzikie kweli

ila all the best mtu wangu
No siwez date na vitoto vya first year ambavyo bado vinavaa mawigi ya elf 15 baada ya boom la kwanza kutuma nyumbani kama fadhila kwa wazazi
 
Bila shaka wewe ni kanali wa migegedo mstaafu unayetaka kurudi kazini tena......
Ila take care hawa watu si wema soon watakufanya kuluta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom