Tushaurini tuandike mada gani za mapenzi ili nyie Mods msitufutie thread...

Tushaurini tuandike mada gani za mapenzi ili nyie Mods msitufutie thread...

dudupori

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2012
Posts
1,795
Reaction score
1,923
Kwanza niwapongeze kwa kazi mnayoifanya kuendesha hii Jf, ila nimeshangazwa na uzi wangu kufutwa hapa MMU bila kuelewa tatizo hasa nini kwani nikiangalia maudhui ya ule uzi haukua na maneno makali yenye kuhatarisha itiwe kapuni...
Cha kushangaza kuna thread nyingi za ajabu na zenye maudhui tatanishi ila siku zote zinaishi humu jukwaan au sababu wengine sio macelebrity humu ndani ndio sababu ya kupigwa pini?
Admins muache double standard la sivyo tutawaona tu wanafiki...
 
Hahaaa sawa mkuu babu asprin ila hawa mods wamenishangaza kwa kweli
Hawa jamaa wakihisi unataka au unawatongozea michuchu yao... haubaki salama.

Mi ndo maana nimeacha kutongoza mademu wa mods...
 
Back
Top Bottom