Mbishi 4 real
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 640
- 657
Nina mpenzi wangu niko nae kwenye mahusiano zaidi ya miezi sita sasa, mimi ninampenda na yeye nina imani ananipenda ingawa siwezi kuwa na uhakika na hilo kwa asilimia mia mana sijui anachokiwaza moyoni mwake.
Tatizo kubwa ambalo lilikua linanikera toka kwa huyu mpenzi wangu kila tunapokua tumekutana kwaajiri ya kugegedana yeye huwai kuivua nguo yake ya ndani mwenyewe.Yani ilikua ukimuacha ndani dakika mbili tu labda umeenda dukani mara moja ukirudi unakuta kashaivua kaiweka pembeni kabaki tu na kanga moja bila nguo ya ndani.
Kuna siku nilikaa nae chini nikampa somo juu ya tabia yake kwamba anachokifanya sio sahihi mana kumvua mpenzi wako nguo ya ndani ni moja ya kionjo cha mahaba kwenye ulimwengu wa sita kwa sita.Sijajua kwa wanaume wenzangu wanaichukuliaje hali hii ila binafsi tukio la kumvua chupi mpenzi wangu huwa inaniongezea msisimko zaidi wa kimapenzi kwenye ulimwengu wa sita kwa sita.
Nashukuru tangu nimpe somo hii tabia aliyokua nayo amefanikiwa kuiacha na ninapokua nae chumbani huwa havui chupi yake mpaka mimi nimvue.
USHAURI
Wanaume tuwe na kawaida ya kukaa chini na wapenzi wetu na kuwaeleza kipi tunapenda na kipi hatupendi mana unaweza ukamlaumu mtoto wa watu kimoyomoyo kumbe hakuna hata siku moja ambayo umekaa nae chini na kumueleza ukweli juu ya tabia yake ambayo kwa upande wako unahisi haiko sawa na inakukera.