Tushfutshtar
Senior Member
- Dec 30, 2017
- 117
- 112
Salaaamu zenu wakuu,
Moja kwa moja kwenye mada, kuna dada tuliwahi kuonana Dar tukapeana namba nikaimbisha mistari yangu akakubali pindi alikuwa keshaondoka yupo mkoani, mawasiliano yakaendelea kama kawaida hadi tukawa tunafanya ile night romantic love charting,
Kwa kweli nina mwelewa (nampenda sana) sasa siku kadhaa nyuma nilimwambia nimtumie nauli aibuke akakubali, nikatuma nauli sasa cha kushangaza baada ya siku moja akanambia hawezi kuja kwa sababu ambazo haja weka wazi (anaficha hataki kunambia)
Alichofanya ambacho hadi sasa kinanishangaza kwa dunia ya leo ni kuwa kaamua kunirudisha ile pesa niliyokuwa nimemtumia kama nauli, then akaambatanisha na ujumbe kuwa hapendi kunikosea au hapendi kutumia ile pesa maana nafsi inamsuta kwa kuwa ananipenda sana najiuliza kwa nini haweki wazi kilichofanya asije ?
Kingine nisipompigia simu siku moja hadi mbili anatoka povu balaa ,hataki kuona picha ya mwanamke kwenye mitandao yangu ya kijamii (ana wivu hatari)
Nimeshangaa kurudishiwa pesa maana wangekuwa wale wengine, (wapo wanao ona mapenzi kama fursa na kipato) hiyo pesa isingerudi kwa kweli !
Nawasilisha!!