Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Yaani mpaka tuamke sisi mmekuwa mnalala wengine wabinafsi yaani mkilala tusipowaamsha ndio basi tena. Hii inaudhi sana mbona kama hamtaki tukiwaamsha mnapiga kazi kama mlikuwa macho vile kumbe...
31 Reactions
423 Replies
33K Views
Habarini wadau wa jf natumai mko fiti mnapambana na hali zenu za kusaka tonge la maisha leo nimewakumbuka sana na kuonelea kuwa letea mada isemayo: Kwanini ung'atwe ovyo Ilihali una miguu ya...
6 Reactions
135 Replies
10K Views
The guy is so smart , handsome ,kwakweli nikiangalia hapa video hii namuonea wivu atakaye kuwa mke wake, Sijui Yule demu wake bado wako wote Pass through video
4 Reactions
72 Replies
11K Views
Kuna watu hawaelewi kabisa, kunisaidia kupata kazi, kunisaidia pa kuoshi si kigezo cha kuendelea kunifuata fuata, Sikatai alinikaribisha kipindi nimeishiwa hela na sijapata kazi, akanipa pa...
5 Reactions
49 Replies
5K Views
Je, ni urefu au unene? Je, urefu wa uume ni suala muhimu kwa mwanamke kuridhika kimapenzi?Hii ni imani potofu ambayo imewafanya wanaume wengi kujiingiza kufanya surgery za gharama kubwa na wengine...
4 Reactions
92 Replies
285K Views
Mume wangu kabadilika sana siku hizi, kwanza hanigusi tena kitandani. Pili, akampa msichana ya ndani mimba. Sasa naamua tu nimuue. Nachunga ushauri wako kwa haraka kabla sijammaliza.
1 Reactions
74 Replies
12K Views
Habari wana MMU kama kichwa kinavyojieleza hapo juu naitaji mshauri wa mambo ya kimahusiano na ndoa nipo na tatizo limenifika shingoni mwenye kujua wanapopatikana na mawasiliano yao.
2 Reactions
58 Replies
6K Views
Ni maamuzi gani magumu ambayo umewahi kuyapitia au kuyafanya kipindi cha mahusiano ambayo huwezi kuyasahau kamwe.
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Rejea tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha tiririka na serereka zako. Nawasilisha.
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Salamu zenu. Mara nyingi nimekuwa nikishangazwa na tabia za baadhi ya wanawake walioolewa ambazo nimezishuhudia kwa wengi. Ni hivi kuna mke wa rafiki yangu ambaye yeye (shemeji) akiwa na rafiki...
6 Reactions
72 Replies
6K Views
Have you ever had revenge sex? If so, did you enjoy it? If you didn’t, did you regret doing it? Did you feel guilty about it? Were you satisfied in terms of getting back at whoever cheated on...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Daaa Kichwa cha habari kipo wazi sana hebu tupe Mrejesho wa Valentine day ilikuwaje kwako mi binafsi leo nlikuwa naumwa tangu Jana nilikuwa kitandani na malaria namshukuru Mungu naendelea Ku...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
habari wana Mmu Niko kwenye ndoa miaka 10 sasa,tumejiajiri tuna kaofisi ketu mjini,tunafanya kazi pamoja na mume wangu. mume wangu ana gari 3,kwa kawaida yeye huwahi ofisini mapema kufungua,mm...
18 Reactions
385 Replies
38K Views
Wadau kuna msichana nimempenda nikamtongoza ili tuwe wapenzi ,amenisumbua muda mrefu mpaka kuja kunikubalia sasa shida ni kwamba ameniuliza kama niko kwenye mahusiano kwa sasa nimemdanganya niko...
5 Reactions
22 Replies
4K Views
Wasalaam wakuu, Wataalamu wa masuala ya dating, Nijuzeni suala hili, je ni wakati gani mhafaka wa kuingia dating na mwanamke/mwanamume ili uhusiano wenu upelekee ndoa kamili yenye afya? Je, ni...
0 Reactions
6 Replies
960 Views
Asee nimemaliza msala wangu wa mdada wa kibrazili na mfilipino, Baada ya kupigana wakaumizana sana niliitwa kwamba mimi ndo nimesababisha vurugu hiyo na nikaambiwa am liable on that case otherwise...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Daktari bingwa na mtaalamu asiyepingika duniani aliyefanya utafiti wake kwa wanaume wa Ujerumani kwa muda wa miaka mitano, Karen Weatherby, anaeleza kuwa wanaume wanaokodelea matiti, hasa...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari za mchana! Kuna jirani yangu leo tangu asubuhi kavurugwa anamtafuta house boy wake kakimbia baada ya kumstukia house girl ana mimba alivyomkodolea macho kasema kweli ana mimba ya house...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Mimi ni kijana wa kiislam nimekuwa kwenye mahusiano na mwenza wangu kwa kipindi cha miaka 3. Kwa sasa tuko mbioni kukamilisha mambo yetu ya uchumba na hatimae kufunga ndoa. Changamoto kubwa...
3 Reactions
69 Replies
7K Views
Habari wana jamvi, Kwanza nitoe pole kwa wote tulio guswa na kifo cha binti yetu Aqwilina kwa sababu ya upuuzi na uzembe wa watu fulani, Sasa nijikite kwenye mada. binafsi nimetokewa kuvutiwa na...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom