Usijidai hujui, umesha Pigwa Kibuti

Usijidai hujui, umesha Pigwa Kibuti

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,037
Reaction score
168,684
1. Mawasiliano yanapungua kila mnavyozidi kuendelea.
2. Kila mara ukiwasiliana naye anakwambia yupo bize atakupigia badae hala wala hakupigii.
3. Kila unapompigia au kumtumia msg majibu yake yanakuwa ya mkato tu hayana maelezo mengi.
4. Shauku ya kutaka kuonana na wewe mara kwa mara inaisha kabisa unapita muda mrefu hamjaonana na anaona sawa tu.
5. Kila mara unapotaka kuwasiliana naye ni lazima wewe ndio umuanze na usipoanza wewe basi yeye hata kuanza kabisa.
6. Mara nyingi muda atakao wasiliana na wewe ni wakati atakuwa anahitaji msaada kutoka kwako.
7. Utagundua kuwa kwa wengine anapata muda wa kuwasiliana nao n ahata kuwa tembelea lakini kwako wewe tu ndio muda huo haupatikani.
 
Nilikua nae mwenye tabia hizo nikamuelewa na mm nikapiga kimya kwa kuona dalili mbaya hivi sasa ananitafuta na nlishaamua kumbwaga mazima..
 
Dalili ya mvua ni mawingu...

Hayo ndiyo mawingu sasa...

Tatizo binadamu ni wabishi sana...


Cc: mahondaw
 
Yaan mtoa mada ni kama kaniibia matatizo yangu. Kumbe kinachofuata ni kibu.....
 
HUWA NINA DESTURI MOJA HVI. .NIKIWA NAANZA KUKUTAFUTA MIMI KWA MUDA WA SIKU 3 TU THEN WEWE UKAWA WAONYESHA DALIL KAMA HIZO ZILIZOTAJWA. KWKUWA HUWA SIPENDI STRESS
AISEEE KINACHOFUATA NIKUFUTA NAMBA YAKO THEN MIKAUSHO MIKALI KAMA RAISI WA URUSI
 
HUWA NINA DESTURI MOJA HVI. .NIKIWA NAANZA KUKUTAFUTA MIMI KWA MUDA WA SIKU 3 TU THEN WEWE UKAWA WAONYESHA DALIL KAMA HIZO ZILIZOTAJWA. KWKUWA HUWA SIPENDI STRESS
AISEEE KINACHOFUATA NIKUFUTA NAMBA YAKO THEN MIKAUSHO MIKALI KAMA RAISI WA URUSI


[emoji2] [emoji2] [emoji2] ile ni sura ya mbuzi.
 
Back
Top Bottom